G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Putin na Russia yake ni nguvu kuu Duniani, America wala haimuwezi na ndiyo maana inafanya ushawishi kwa nchi zingine kumuunga mkono, lakini nchi hizi zote zikikaa pembeni na wakapambana America na Russia, America itabaki magofu na wataomba wasaidiwe, hii vita ingekua ni Afrika au nchi za Kiarabu tungeona namna ambavyo mapema kabisa Amerika angejitafutia sifa, lakini kwa Putin atasanda vibaya, kama Osama aliwasumbua na ni mtu dhaifu, leo ije iwe Putin?