Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

Wapo kibao wako kibao

Yuko Joseph Kony ,yuko Bemba wa kongo,yuko kiongozi wa waasi wa M23 hadi leo kesi inaendelea ICC ,wako wahusika wa mauaji ya kimbari ya Rwanda

Wengi mno ambao wala sio maraisi kesi ziko ICC
So hao wote either wawe wakuu wa nchi au waasi, niambie kuna kiongozi gani wa kizungu
Wamiliki wa dunia walishatoa agizo huyo akamatwe, hao akina Malema sijui Zulu au mfalme Mswati hawana lolote.
Kumbe kizibo hivyo nani wakumkamata MWAMBA?
 
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee...
Africa ya Kusini ilishawahi kukataa kumkamata Al Bashir wa Sudan who is relatively weaker than Putin na ICC haikufanya kitu.

Sasa sijui hao wanapata wapi mawazo ya kudhani kwamba SA itamkamata Putin? Wasahau. Wapambane kwanza na hali zao.
 
Huyu ni mmoja ya washindi wa JF 2022 na amezawadiwa (pengine vizuri tu). Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo lijamaa mwaka jana lilikuwa linafungua thread kumi kwa siku. Sasahivi Russia imemkata ngebe anafungua thread tatu kwa mwezi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uingereza ujerumani na marekani&canada watume inter police na vikosi vingine maalumu kumkamata mbona rahisi tu? Wasimuangushie mzigo SA
Kuwa na akili, haiwezekani kufanyika hivyo bila kupata kibali na nchi usika(SA)
 
Inahitaji akili iliyopevuka kuelewa nilicho andika hapo.
Extrovert mfafanulie huyu bwa. Mdogo
Wewe ndio huelewi hata ulichoandika. Nafikili sinema za kimarekani zimekudanganya sana maana kwenye sinema marekani huwa ashindwagi na lolote. Lakini tunapokuja kwenye uhasilia ni choko tu
 
Wewe ndio huelewi hata ulichoandika. Nafikili sinema za kimarekani zimekudanganya sana maana kwenye sinema marekani huwa ashindwagi na lolote. Lakini tunapokuja kwenye uhasilia ni choko tu
Ngoja nikufafanulie Bw. Mdogo. Nacho seme hapo ni almost impossible kumkamata putin ataingia SA NA kutoka na asiguswe hata ukucha wake. Nani aruhusu putin akamatwe kwenye ardhi yake? Scotland? Canada? Germany? Italy? SouthAfrica?
 
Uingereza ujerumani na marekani&canada watume inter police na vikosi vingine maalumu kumkamata mbona rahisi tu? Wasimuangushie mzigo SA
Labda kuna mahali hatuelewani, hebu fafanua hilo mandiko lako
 
Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee...
Umesahau Rais Albashir wa Sudan alikwenda Afrika ya Kusini kwenye mkutano baada ya ICC kutangaza akamatwe. Afrika Kusini hawakutekeleza hilo; Albashir akarudi nchini kwake. Sembuse Putin?
 
Back
Top Bottom