Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

mbona hujaweka picha
 
Kwani kama ana Uraia wa South Afrika kuna shida gani? Angekuwa mwanariadha au mcheza mpira wangesema asiwakilishe taifa la South Afrika? Hata tushukuru wazungu waliopo South Afrika , hawa ndio wamejenga nchi ya South Afrika, mbona wazungu wa South Afrika huwa wanawakilisha nchi kwenye mchezo wa mpira wa mikono?
 
Ni mrembo sana hadi wanamuogopa?Hebu tupia picha ya bibie Chidimma nimuone kwa mawaidha ya hapa na pale kwa masandawana mkuu.Oooiii bafwetu!Kunjaani bafwetu?
 
Hatujioni sisi wenyewe tulivyo wabaguzi.
Kwa misingi ya rangi, dini, tunapotokea, kabila na mitazamo ya kisiasa. Tuna raia wa madaraja tafauti nchini mwetu.
 
Hatujioni sisi wenyewe tulivyo wabaguzi.
Kwa misingi ya rangi, dini, tunapotokea, kabila na mitazamo ya kisiasa. Tuna raia wa madaraja tafauti nchini mwetu.
SI ndo hapo halafu tunawasema wazungu wabaguzi kumbe hata sisi ni walewale
 
Sisi ni wabaguzi sana. Hata hapa iliwah kutokea kwa yule dada mwenye asili ya kihindi. Lakini sisi tunataka raia wenye asili ya kiafrika wakawe hadi viongozi hukk ulaya na marekani.
 
WANAJUA ATASHINDA... HAO NI WASHINDANI WAKE WAMEANZA KUMSAGIA KUNGUNI.

MBONA HATUA ZA AWALI ALISHINDA?!
 
Safi sana. Kwa nini miss South Afrika awe pandikizi la Nigeria ? Check her ethnic background and check it good!

South Afrika wanajitambua, wanalinda identity yao, na fursa zao, na maslahi yao, na mali zao kwa umakini na wivu mkali.

hakuna mibaharia na mi rejects kukimbia ma failed state ya Afrika kwenda kuwajazia nchi yao.

Oooh... Wa sauzi ni wavivu sana, wanapenda ngono na pombe....

okay, kama wageni ndio mnaweza sana kazi, hamfagilii pombe na ngono, na mko locked in kwenye mindset ya maendeleo then thats a great recipe for success and development wherever you are, kabebeni makarai ya zege mjenge makwemu, au kazi yeyote mnayoweza makwenu, mbaki huko huko makwenu, hamtabaguliwa mkiwa kwenu!
 
Umenena mkuu nashangaa mijtu inayong'ang'ana kutoboa kwenye nchi za watu, na kwao yameshindwa acha yabaguliwe tu
 
we ndo umepoteana bora kwenye mpira na michezo angeweza kuwakilisha ikiwa ana uraia, ila hilo nishindano la urembo, yaani warembo wa south afrika sio raia wa south afrika
 
Kwa hili wasauz nawaunga mkono kweli wanajitambua yaani watoto wote hao wa kizulu warembo leo wawakilishwe na mnigeria hii dharau, hata kama kazaliwa hukohuko ethnicity inamkataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…