Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Raisi Magufuli ashinda tuzo huko Afrika Kusini

Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya nwaka 2017 yaani Mandela Peace Prize ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Inaelezwa kuwa kamati hii ilipokea maombi takribani 5000 za kuwania tuzo hizo. Tofauti na Rais Magufuli viongozi wengine walioshinda ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye ameshinda Tuzo ya Mandela ya Demokrasia.

Wengine ni Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza ambaye amepewa Tuzo ya Ujasiri, Rais Idriss Itno wa Chad akiwewa Tuzo ya Ulinzi huku Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zikipewa Tuzo za Ujasiri.
 
Tuandamane nini? We watu na akili zao wamekaa na kuchagua watu wanaofaa kutunukiwa we unataka wakwako?
Napinga Magufuli kupewa tuzo hiyo , na kama Mandela akisikia huko aliko aweza kufufuka ili kuja kuzuia jina lake kutumiwa vibaya .
 
Mhhh Hata kwenye mazishi ya wazalendo hatukufika (kutoa heshima za mwisho)

Tittle hii nimeipataje? Amani bila uchumi wala demokrasia ?
Wenye akili wamempa, ww mlala hoi unapiga kelele
 
Jimbo,
Ni kweli mkuu, ingekuwa Tuzo ya Malikia wa Uingereza ama D. Cameroon, tungeshangilia kweli x2. Hivi ni nani alyeanzisha msemo wa "Miafrica ndivyo tulivyo", nimekumbuka usemi huu ghafla
Kwa hiyo malikia akikuambia ww ni mpumbavu utafurahia coz yeye ni mzungu?
 
hahaha kama nawaona Bawacha walivyo jawa na hasira kwenye vifua vyao.....
hahahahaha
Tuzo gani hizo za ki. Ka to ki. Li aendelee kuwafurahisha na teuzi zake watu tunanjaa yamaisha unasema tunaishi kwa amani wengine kwenye viroba wengine Nairobi wanatibu majeraha ya risasi wapinzani wanasumbuliwa kilasiku kukamatwa alafu mtu anatoa tuzo ya amani amethani maisha yetu kweli au anafurahia kwa yanayotupata?
 
Jean Bedel Bokassa fully deserves posthumous Mandela peace prize.
 
Kwa kumpiga risasi Tundu Lisu Hanna kitu kama hicho.no MTU katili sana kuwahi tokea Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom