Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu kama hiki South Africa. Sio Mandela Peace Prize wala sio hiyo Mandela Institute. Na huyo Dr. Paul Kananura aliyetajwa ni mrwanda ambaye anaendesha ka small organization sijui wapi huko, wala sio Johannesburg. It is such a shame that in this day and age of technological advancement bado kuna watu wanadhani wanaweza kupotosha umma kwa habari za uongo. Halafu ma bloggers wengi wanadandia story bila kucheck authenticity.
 
Binafsi nilishangaa ila kikubwa haikunistua kitu maana nimeona kila mtu kapata mara Kenyatta, mara Magufuri mara jesi ya mgabe vururuvururu..!
 
Tuzo zingine ni za aibu kwa watu makini. Kabla hamjatangaza lazima muwe mumechunguza heshima ya tuzo hizo kwanza isije kuwa ni za kulejeli tuu na sio zenye thamani mbele ya watu makini.
Msije mkakuta rais anaingizwa kama katika zile tuzo hapa kwetu aliZoshiriki Dr Remmy Ongala na Masudi sura mbaya enzi zile
 
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaa........... Kumbe ni fake news!!!!!!!!
Na ujinga wote huu unapikwa kwenye ofisi za Lumumba!!!!
Shame Shame Shame Shame......
 
FAKE NEWS! FAKE NEWS! FAKE NEWS! FAKE NEWS! yani mmekosea kumuweka Pierre Nkurunziza hapo ndipo fake news yenu imepoteza mvuto kabisa.
 
magufuli+pic.jpg

Johannesburg, Afrika Kusini. Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Kamati ya tuzo za Mandela kwa mwaka 2017 ilipokea maombi ya wawania tuzo 4,956. Wengine waliotunukiwa ni Rais Uhuru Kenyatta aliyeshinda tuzo ya Mandela ya Demokrasia kutokana na kuendeleza demokrasia nchini Kenya.

Pia, Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zimetunukiwa tuzo ya ujasiri (Mandela Boldness) kwa kufanya uamuzi kwa kijasiri kwa masilahi ya mataifa yao.

Rais wa Taasisi ya Mandela, Dk Paul Kananura amesema Rais Kenyatta ametunukiwa kwa kudhihirisha demokrasia kwa kukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu hivyo kuheshimu kanuni za utengano wa mamlaka. Mahakama ya Juu ya Kenya ilibatilisha matokeo ya urais katika uchaguzi wa Agosti 8,2017 yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru uchaguzi kurudiwa ambao alishiriki na kuibuka mshindi.

"Hii inaonyesha kuwa Rais Kenyatta amechangia katika uimarishaji wa demokrasia Kenya,” amesema Dk Kananura. Rais wa Chad, Idriss Itno amepata tuzo ya Mandela ya Ulinzi (Mandela Security) kutokana na sera ya kupambana na ugaidi katika maeneo ya Sahel na Ziwa Chad. Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage).

Hivi Tundu Lissu hajapewa tuzo huko? Naombeni jibu nyie makarai wa Ufipa

Ya Tundu Lissu haina mfano wake hapa duniani, ana tuzo mbinguni kwa maana anatetea haki, anafanya kazi kutetea wanyonge na maskini wa Tanzania.
 
magufuli+pic.jpg

Johannesburg, Afrika Kusini. Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Kamati ya tuzo za Mandela kwa mwaka 2017 ilipokea maombi ya wawania tuzo 4,956. Wengine waliotunukiwa ni Rais Uhuru Kenyatta aliyeshinda tuzo ya Mandela ya Demokrasia kutokana na kuendeleza demokrasia nchini Kenya.

Pia, Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zimetunukiwa tuzo ya ujasiri (Mandela Boldness) kwa kufanya uamuzi kwa kijasiri kwa masilahi ya mataifa yao.

Rais wa Taasisi ya Mandela, Dk Paul Kananura amesema Rais Kenyatta ametunukiwa kwa kudhihirisha demokrasia kwa kukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu hivyo kuheshimu kanuni za utengano wa mamlaka. Mahakama ya Juu ya Kenya ilibatilisha matokeo ya urais katika uchaguzi wa Agosti 8,2017 yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru uchaguzi kurudiwa ambao alishiriki na kuibuka mshindi.

"Hii inaonyesha kuwa Rais Kenyatta amechangia katika uimarishaji wa demokrasia Kenya,” amesema Dk Kananura. Rais wa Chad, Idriss Itno amepata tuzo ya Mandela ya Ulinzi (Mandela Security) kutokana na sera ya kupambana na ugaidi katika maeneo ya Sahel na Ziwa Chad. Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage).

Hata Magufuli anapata TUZO? Ya nini......Na Muuaji Nkurunziza tuzo ya Ushujaa??? Na Idris wa CHAD? I doubt about our credibility but i am not surprise we africans have beautiful continent but we are the last in Everything but Corruption, Nepotism, Murders, Embezzlement, poverty and Diseases. Kweli Africa kama hizi tuzo ni kweli wamepewa (Ngoje nitazame Kalenda pengine sikukuu ya wajinga imehamishwa tarehe) hao watu basi kuna shida kubwa sana kwenye ufikiri wetu.
 
Ni FAKE NEWS Mheshimiwa. Hakuna kitu kama hicho. Unashangaa vyombo vya habari Tz kudakia na Ku publish ujinga huu
 
Hakuna kitu kama hiki South Africa. Sio Mandela Peace Prize wala sio hiyo Mandela Institute. Na huyo Dr. Paul Kananura aliyetajwa ni mrwanda ambaye anaendesha ka small organization sijui wapi huko, wala sio Johannesburg. It is such a shame that in this day and age of technological advancement bado kuna watu wanadhani wanaweza kupotosha umma kwa habari za uongo. Halafu ma bloggers wengi wanadandia story bila kucheck authenticity.

Birds of feathers flock together, ndege wafananao huruka pamoja!

Kule kwa majirani mihula imeisha ila WAMO, na wataendelea kuwamo hadi 2034!

Huku nako 5 inapiganiwa iwe 7 ili tuendelee KUWAMO.

Oooooough! The wind of change has been blowing from Uganda to Rwanda then to Congo...back to Burundi....coming on its way to the East of Burundi.

Sio mbaya Mazee ila twataka maendeleo kama ya mpambanaji na Jembe Hon. KAGAME
 
magufuli+pic.jpg

Johannesburg, Afrika Kusini. Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii.

Kamati ya tuzo za Mandela kwa mwaka 2017 ilipokea maombi ya wawania tuzo 4,956. Wengine waliotunukiwa ni Rais Uhuru Kenyatta aliyeshinda tuzo ya Mandela ya Demokrasia kutokana na kuendeleza demokrasia nchini Kenya.

Pia, Mahakama ya Juu nchini Kenya na Jeshi la Zimbabwe zimetunukiwa tuzo ya ujasiri (Mandela Boldness) kwa kufanya uamuzi kwa kijasiri kwa masilahi ya mataifa yao.

Rais wa Taasisi ya Mandela, Dk Paul Kananura amesema Rais Kenyatta ametunukiwa kwa kudhihirisha demokrasia kwa kukubali uamuzi wa Mahakama ya Juu hivyo kuheshimu kanuni za utengano wa mamlaka. Mahakama ya Juu ya Kenya ilibatilisha matokeo ya urais katika uchaguzi wa Agosti 8,2017 yaliyompa ushindi Kenyatta na kuamuru uchaguzi kurudiwa ambao alishiriki na kuibuka mshindi.

"Hii inaonyesha kuwa Rais Kenyatta amechangia katika uimarishaji wa demokrasia Kenya,” amesema Dk Kananura. Rais wa Chad, Idriss Itno amepata tuzo ya Mandela ya Ulinzi (Mandela Security) kutokana na sera ya kupambana na ugaidi katika maeneo ya Sahel na Ziwa Chad. Mwingine ni Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza aliyetuzwa tuzo ya ujasiri (Mandela Courage).

Nani anayeratibu UONGO huu dhidi ya Rais wetu na ana maslahi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom