Tetesi: Afrika Kusini: Rais Magufuli adaiwa kutunukiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize)

Status
Not open for further replies.
Hivi yule mwandishi wa habari amepatikana?
Ili nijue kweli kuna amani!
Huu ni uzushi, hakuna cha tuzo hapo, tundu lissu mwenyewe hajapona bado, ben wa saanane mpaka leo hajapatina, hiyo itakuwa tuzo ya lumumba🙂)😀
Wakibiti na Mkuranga mbona huwataji?, dhambi hii ya ubaguzi haitaicha chadema salama hata kidogo
 
Jimbo,
Ni kweli mkuu, ingekuwa Tuzo ya Malikia wa Uingereza ama D. Cameroon, tungeshangilia kweli x2. Hivi ni nani alyeanzisha msemo wa "Miafrica ndivyo tulivyo", nimekumbuka usemi huu ghafla
[emoji16][emoji16][emoji16] slaves mentality
 
Naona madikteta tupu kasoro Kenyatta ,huyu mwenyekiti wa hiyo tume pamoja na wajumbe kama hawavuti bangi sijui maana vigezo vya kishenzi haijawahi kutokea blood fucking
 
Jinyongeni sasa maana tuzo ndio kapewa
Uzuri tuzo haijatolewa na Wanywa viroba Wa Ufipa
 
Kama JPM kapewa tuzo kweli kesho tu utamsikia kwenye media akijisia wakati wafanyakazi wake na wananchi wanateseka
 
Mahakama na jeshi la Zimbabwe ndio wastahili stahiki wa hizi tuzo
 
Tuzo zingine zimekosa pakupelekwa huku ni kumdhalilisha Mandela.
Mh...jamani acheni ...watu wenye nia njema, watafiti na wadau wenye sayansi ya siasa they never deal with comedy politics like that you know; only facts are there to be scruitinized for real data!
 
hahahaha Bawacha wamefura kweli walifikiri atapewa Tundu lissu Teh teh
 
Naona miaka inaenda haraka huyu jamaa anatakiwa aongezewa mihula ya kutawala ili majizi yanyoke kabisa!
 
Kama hata Nkurunziza pia kapewa, basi tumeshaielewa hiyo tuzo maana yake, si ajabu Magu nae akapewa!
 
Magufuli ni chaguo la Mungu wasiopenda wahame nchi maana bado ana miaka 7 ya kuingoza nchi hii
Kauli za namna hii zikitokea mkoa wa Kagera zinaumiza sana. Kuna watu tuliopoteza ndugu na jamaa 1978 sababu watani zetu wasiendelee kuolewa na Nduli Iddi Amin, leo hii mgole wewe unabana tu pua kiuwepesii. Wallah maneno haya usiyasemee kanda maalum Tarime na Rorya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…