FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nyerere alinyang’anya wahindi maghorofa na kuwapa NJC, ukoloni ulileta imbalance kubwa, lazima kurudisha mizani kidogo..Hao walowezi si ni raia wa SA, wale mwl aliwaita makaburu? So Ramaphosa atakuwa ananyang’anya raia wake aridhi kwa msingi ya rangi ya ngozi?
Kiko wapi???Tutashitakiwa MIGA ~~~~Lisu
Kwa tuliowahi kuishi nchi za kusini mwa Afrika tulikuwa tukijua toka kale kuwa kuufinya na kuufinyanga uchumi wa Zimbabwe waliumiza sana Wazimbabwe lakini lengo lilikuwa ni kuipiga mkwara SA not to do the same. Watu hawakununua ardhi bali waliipora lakini eti hairuhusiwi sehemu ya ardhi waliyopora igawawiwe kwa kwa wazawa ambao ndiyo wengi na hawana ardhi.Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Sasa mbona Zimbabwe imewarudishia tena Wazungu Ardhi Yao? Kwa nini wasikomae?Kwa tuliowahi kuishi nchi za kusini mwa Afrika tulikuwa tukijua toka kale kuwa kuufinya na kuufinyanga uchumi wa Zimbabwe waliumiza sana Wazimbabwe lakini lengo lilikuwa ni kuipiga mkwara SA not to do the same. Watu hawakununua ardhi bali waliipora lakini eti hairuhusiwi sehemu ya ardhi waliyopora igawawiwe kwa kwa wazawa ambao ndiyo wengi na hawana ardhi.
Kutoka Beitbridge mpaka Cape Agulhas kwa mtu aliyeishi tu nchi ya kijamaa kama Bongo lazima atashangaa, ardhi yote iko fenced na vibao vya 'do not trespass it's private property' ni common na unajua trespassing ni criminal offense.
Kwenye kulinda interests za Wazungu hata kama ni Wazungu waishio/raia wa nchi za Afrika hapo utabaini kuwa Wazungu wote huungana hata kama ni kwa kuitesa kiuchumi nchi ya Afrika alimradi wanapigania interests za Wazungu wenzao na baadhi ya Africans huwa hawausomi mchezo kwa kuwa media hufanya brainwashing kwa propaganda na kulaumu huo mpango wa land redistribution.
The funny part ni kwamba ardhi yote waliipora lakini kurudisha a portion of that land hawakubali.
Zimbabwe walikubaliana na Britain kwenye Lancaster House Agreement kwamba baada ya uhuru wawaachie Wazungu ardhi kwa miaka kumi then ndiyo waigawanye(that was Mugabe's great mistake kwani walipaswa kuipora immediately walipopata uhuru na kusingekuwa na kelele) na British ilidai italipa fidia kwa land owners ili igawanywe after ten years Britain waka-change kibao Mugabe akakauka akawapa tena ten years mingine wajipange hapo ndiyo wakamchomolea mazima na hiyo kumbuka war veterans wanazidi kuzeeka na makubaliano wakati wa mapambano ya uhuru ni kuwa wao ndiyo watapewa umuhimu wa kwanza kwenye kugawiwa ardhi kwani wanachopigania ni ardhi na si tu kubadili rangi ya bendera na kumtoa mzungu katika kuongoza nchi. Veterans wakampiga mkwara Mugabe mpaka akawakubalia ardhi wakaichukua kibabe, kumbuka war veterans huwa na nguvu sana kuliko hata wanasiasa kwenye nchi zilizomwaga damu katika kutafuta uhuru.
Viva antingo de combatentes💪.
Kaanza kulegea 👇👇Kwa tuliowahi kuishi nchi za kusini mwa Afrika tulikuwa tukijua toka kale kuwa kuufinya na kuufinyanga uchumi wa Zimbabwe waliumiza sana Wazimbabwe lakini lengo lilikuwa ni kuipiga mkwara SA not to do the same. Watu hawakununua ardhi bali waliipora lakini eti hairuhusiwi sehemu ya ardhi waliyopora igawawiwe kwa kwa wazawa ambao ndiyo wengi na hawana ardhi.
Kutoka Beitbridge mpaka Cape Agulhas kwa mtu aliyeishi tu nchi ya kijamaa kama Bongo lazima atashangaa, ardhi yote iko fenced na vibao vya 'do not trespass it's private property' ni common na unajua trespassing ni criminal offense.
Kwenye kulinda interests za Wazungu hata kama ni Wazungu waishio/raia wa nchi za Afrika hapo utabaini kuwa Wazungu wote huungana hata kama ni kwa kuitesa kiuchumi nchi ya Afrika alimradi wanapigania interests za Wazungu wenzao na baadhi ya Africans huwa hawausomi mchezo kwa kuwa media hufanya brainwashing kwa propaganda na kulaumu huo mpango wa land redistribution.
The funny part ni kwamba ardhi yote waliipora lakini kurudisha a portion of that land hawakubali.
Zimbabwe walikubaliana na Britain kwenye Lancaster House Agreement kwamba baada ya uhuru wawaachie Wazungu ardhi kwa miaka kumi then ndiyo waigawanye(that was Mugabe's great mistake kwani walipaswa kuipora immediately walipopata uhuru na kusingekuwa na kelele) na British ilidai italipa fidia kwa land owners ili igawanywe after ten years Britain waka-change kibao Mugabe akakauka akawapa tena ten years mingine wajipange hapo ndiyo wakamchomolea mazima na hiyo kumbuka war veterans wanazidi kuzeeka na makubaliano wakati wa mapambano ya uhuru ni kuwa wao ndiyo watapewa umuhimu wa kwanza kwenye kugawiwa ardhi kwani wanachopigania ni ardhi na si tu kubadili rangi ya bendera na kumtoa mzungu katika kuongoza nchi. Veterans wakampiga mkwara Mugabe mpaka akawakubalia ardhi wakaichukua kibabe, kumbuka war veterans huwa na nguvu sana kuliko hata wanasiasa kwenye nchi zilizomwaga damu katika kutafuta uhuru.
Viva antingo de combatentes💪.
Ameona aongee na mpambe wa Trump 😂 nathan kamwa kijana wangu Elo mbona unataka kutuangamizaa ebu ongea na rafikiyako bana ule mkwara nlikua nawajaza upepo wajinga
Traore kamnyang'anya nani ardhi?Kwann asingetuma wajeshi wampindue ili adhima hiyo ifanikiwe
Hii. Tabia ya kumwiga traole Ibrahim itamtokea puani
Wafaransa wanaojifanya wanalinda kumbe sikweliTraore kamnyang'anya nani ardhi?
Sasa ndo ardhi hivi weeh una akili nzuri?..au unaleta ugalatia wako?...huu mfano upo wazi ungemtolea Mugabe...Wafaransa wanaojifanya wanalinda kumbe sikweli
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
The beginning of the end of South Africa supremacy in economy within African continent
Ule msamaha wa Ramaphosa kumtuma Elo akamwombee kwa Trump inamana ulikataliwa? Duu aisee nihatari
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Safi xnaa south wamechelewa xnaa kuchukua ardhi Yao ?nyie wenye mahaba na wazungu kuna vitu havipo sawa kichwan mwenuRais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto
View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0
My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.
Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.
Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==
Nafikiri umekurupuka kuandika comment yako hii hapa mtandaoni.Safi
Safi xnaa south wamechelewa xnaa kuchukua ardhi Yao ?nyie wenye mahaba na wazungu kuna vitu havipo sawa kichwan mwenu