Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia

Hao walowezi si ni raia wa SA, wale mwl aliwaita makaburu? So Ramaphosa atakuwa ananyang’anya raia wake aridhi kwa msingi ya rangi ya ngozi?
Nyerere alinyang’anya wahindi maghorofa na kuwapa NJC, ukoloni ulileta imbalance kubwa, lazima kurudisha mizani kidogo..
 
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==

Kwa tuliowahi kuishi nchi za kusini mwa Afrika tulikuwa tukijua toka kale kuwa kuufinya na kuufinyanga uchumi wa Zimbabwe waliumiza sana Wazimbabwe lakini lengo lilikuwa ni kuipiga mkwara SA not to do the same. Watu hawakununua ardhi bali waliipora lakini eti hairuhusiwi sehemu ya ardhi waliyopora igawawiwe kwa kwa wazawa ambao ndiyo wengi na hawana ardhi.
Kutoka Beitbridge mpaka Cape Agulhas kwa mtu aliyeishi tu nchi ya kijamaa kama Bongo lazima atashangaa, ardhi yote iko fenced na vibao vya 'do not trespass it's private property' ni common na unajua trespassing ni criminal offense.
Kwenye kulinda interests za Wazungu hata kama ni Wazungu waishio/raia wa nchi za Afrika hapo utabaini kuwa Wazungu wote huungana hata kama ni kwa kuitesa kiuchumi nchi ya Afrika alimradi wanapigania interests za Wazungu wenzao na baadhi ya Africans huwa hawausomi mchezo kwa kuwa media hufanya brainwashing kwa propaganda na kulaumu huo mpango wa land redistribution.
The funny part ni kwamba ardhi yote waliipora lakini kurudisha a portion of that land hawakubali.
Zimbabwe walikubaliana na Britain kwenye Lancaster House Agreement kwamba baada ya uhuru wawaachie Wazungu ardhi kwa miaka kumi then ndiyo waigawanye(that was Mugabe's great mistake kwani walipaswa kuipora immediately walipopata uhuru na kusingekuwa na kelele) na British ilidai italipa fidia kwa land owners ili igawanywe after ten years Britain waka-change kibao Mugabe akakauka akawapa tena ten years mingine wajipange hapo ndiyo wakamchomolea mazima na hiyo kumbuka war veterans wanazidi kuzeeka na makubaliano wakati wa mapambano ya uhuru ni kuwa wao ndiyo watapewa umuhimu wa kwanza kwenye kugawiwa ardhi kwani wanachopigania ni ardhi na si tu kubadili rangi ya bendera na kumtoa mzungu katika kuongoza nchi. Veterans wakampiga mkwara Mugabe mpaka akawakubalia ardhi wakaichukua kibabe, kumbuka war veterans huwa na nguvu sana kuliko hata wanasiasa kwenye nchi zilizomwaga damu katika kutafuta uhuru.
Viva antingo de combatentes💪.
 
Sasa mbona Zimbabwe imewarudishia tena Wazungu Ardhi Yao? Kwa nini wasikomae?
 
Kaanza kulegea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFrfVvFCHZ3/?igsh=YmZoYWhhYWUyc2g1
 
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake.

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==

The beginning of the end of South Africa supremacy in economy within African continent
 
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==

Kwa kiasi fulani hivi wanaweza kuwa wapo sahihi, Ila hofu yangu kubwa ipo juu ya namna ya Utekelezaji wa Mkakati huo wa Utwaaji wa Ardhi. Je, Mpango wa kutekeleza jambo hili upo vizuri?
Najua lazima Mpango huo utakuwa mbaya sana na utaleta matokeo hasi mabaya sana kwa nchi hiyo ya Afrika Kusini.

Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi raia Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu mmoja anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi, yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro mikubwa na washirika wake wa karibu Sana kwenye Utawala wake kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi
 
Safi
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

View: https://www.instagram.com/p/DFQCBSZouZ4/?igsh=bXZpdjl1dGMxNmI0

My Take
Huenda kilichotokea Zimbabwe kuwakuta na South Africa.

Ikumbukwe Zimbabwe imeamua kurejesha Ardhi Kwa Walowezi wa Kizungu.

Yetu macho,Trump ameanza kutema cheche huko 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFmkXftoD7q/?igsh=MWNpN2VnOXRwZ3NlMg==

Safi xnaa south wamechelewa xnaa kuchukua ardhi Yao ?nyie wenye mahaba na wazungu kuna vitu havipo sawa kichwan mwenu
 
Nafikiri umekurupuka kuandika comment yako hii hapa mtandaoni.

Wewe unayetaka Watu weusi wa Afrika Kusini kuchukua Ardhi ya Wazungu bila ya kufanya kwanza Utafiti wa kina na maandalizi ya kutosha nafikiri ndio una vitu ambavyo havipo sawa kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom