Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
Wanabodi nauliza tu hivi Corona bado ipo bongo? Jana niliona Al Jazeera Africa Kusini watoto wadogo nao wamerudi shule!
Wao nadhani hawaogopi sana kufa kwa korona sababu kwasasa wana maambukizi 35,000, sisi 0.1!
Nauliza tu, hapa kwetu ni lini tunafungua shule za msingi na chekechea aka vidudu manake hasara watoto kukaa nyumbani ni kubwa kuliko watoto kwenda shule!!
hasara hizo mfano!
1. Nyumba ni ndogo watoto timu ya mpira tunabanana mno hatupati fresh air! tunaishi nyumba za kupanga sie wengine Serikali ituhurumie au haiwezi?
2. Mimba za bodaboda nje nje mabinti wanazurura ovyo mitaani fungulia mbwa! shule zikifunguliwa watarudi nusu na nusu ingine watakao pata mimba za utotoni wataenda kliniki!
3.Ugomvi wa remote control kati ya watoto wenyewe kwa wenyewe na kati ya watoto na wazazi, tv si moja tu au?
4. Watoto content za shule zinaisha kichwani zinaingia kara sevda na katuni
5. Chakula hakitoshi watoto hula shule sasa tuko nao hapa maskani
6. Tunajifunza tabia za watoto wetu ni mbaya mno tushachoka ni viburi, wabishi wakorofi wahuni hawana adabu kabisa bora warudi shule kupambana na bakora za walimu.
7. Nidhamu ya watoto inaporomoka mno wanazurura tu mitaani na kujionea maajabu ya jamii yao!! ukisahau cm kidogo mno watoto washaiba cm washawasha data na kuingia youtube, ukishika cm baadae wanakuangalia tu wako kimya kama hawajafanya kitu basi unakuta bando lako la wiki nzima hamna ukipekua unakuta website walizoingia watoto na videos walizoangalia hapo washakuua unakaa siku tatu bila bando!! waondokeee!
This is more important
8. Hali ni ngumu mno mzunguko wa pesa umekata kwa mamilioni ya wapiga kura ,njaa ni kali mno kuliko korona akiba zimeisha kwa kinamama wauzao vyakula mashuleni nchi nzima , bajajs na boda boda za kupeleka watoto skuli njaa kali, daladala njaa kali wanafunzi hamna na level seat raha mno kwa abiria nao ni mwiba mchungu kwa daladala, waalimu wa private skuli, wamiliki wa private ambao walihudumia ukoo mzima wanakufa njaa na wengine wanadedi na bp,maduka ya kuuza vyakula yaliyotegemea mashule yanakufa serikali inapoteza kodi, wasafirishaji vyakula na bidhaa za mashule mitaji inakata, wazalishaji na wauzaji vifaa vya mashule biashara zinafungwa kodi hakuna kwa serikali SGR itaisha kweli?wakulima wanauza vyakula kwa bei ya kutupa wateja hawana pesa, mtaani njaa kali mno mimi ukweli sitahangaika na kupiga kura natafuta ugali kwanza!
Kwa tathmini yangu ya kisomi , zaidi ya watu milioni 45 bongo hivi sasa wana njaa kali na ni hatari kwa usalama wa nchi na ni hatari kwa kura za CCM uchaguzi mkuu sababu a hungry man is an angry man! mamilioni ya watu bongo leo hii muda huu hawana kipato cha uhakika wengine hawana kabisa msosi wamegeuka ombaomba inauma sana wengine walikuwa na biashara kubwa zimefilisika! watu milioni 45 bongo hawa wote wanakula from sekta binafsi ya bongo iliyovurugika na kuangushwa chali na COVID 19 government measures mojawapo ikiwa kufunga mashule na michezo, takwimu zetu kutoka NBS nimesoma zinaonesha ni 8% tu ya watanzania wana mshahara!
Kura sio zitagawana kila chama kwa njaa hii?wapinzani hoja wanazo kibao sasa!!
Hivi mantiki ya kufunga mashule wakati ule Corona imepamba moto bado ndo tunatumia?mbona hotuba zinasema tumeishinda Corona hii imekaaje? ni siasa tu? kama tumeishinda mbona shule hatufungui waalimu si wapo kusimamia usafi?
Je ni wakati muafaka tuishawishi serikali tupige kura za maoni wanaokubali shule ziendelee kufungwa na wanaotaka shule za watoto wadogo zifunguliwe? manake serikali haijaleta korona na haitupi ugali njaa ni yetu tu!
Kwanza nani atasimamia uchaguzi mkuu vizuri na kwa weledi bila maDED na Wakurugenzi nasikia kuna Jaji kazuia! ni kweli? kwa mantiki ipi?