Ni kweli nyimbo za Marijani ni kwenye tungo zaidi ukilinganisha na za Mwinshehe...pia nadhani ni bahati mbaya sana Mwinshehe alituacha mapema sana jukwaa likabaki kwa Marijani kwa muda mrefu.Mwishehe alikuwa na sauti tamu sana kusikiliza Marijan alikuwa na mashairi kuntu (alikuwa anajua sana mziki)
Kila watu huwa wanahisi muziki wa kizazi chao sio mzuri hata Diamond atakuja kuenziwa na watu wa kizazi kijachoHebu sikiliza Mbiliabel, Yvonne Chakachaka nyimbo zao hata ukiweka msibani watu watatikisa vichwa...
Lazima tukubali starehe na vitu vizuri vilikuwa zamani sio sasa.
Jaman mmmhhMkuu inamaana tuwatengenezee wote au viongozi tu wa kundi?
Watamuenzi wenye kupenda nyimbo zakeKila watu huwa wanahisi muziki wa kizazi chao sio mzuri hata Diamond atakuja kuenziwa na watu wa kizazi kijacho
Na kama tutapiga kura vijana ni wengi kuliko wazee..Kweli Wew Mtoto wa 2000's Yaan Hao panya uwaweke unamwacha Juma kilaza, mbaraka mwishee, wakina gurumo wakina TX moshi William na WENGNE kibao hebu acha zarau basi
[emoji122][emoji122][emoji106][emoji106]Mbaraka Mwishehe
Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi
Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.
View attachment 623278
Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
Muziki unategemea na wasikilizaji wanataka nini kama wanataka kufundishwa au wanataka kuburudika.Mkuu siku hizi wanatunga ili kupata hela, hawaangalii mbali. Wanatunga wanaweka maneno kadhaa ila maudhui yao yanakuwa madogo sana, tofauti na zamani. Nyimbo nyingi zamani zilikuwa ni burudani na kufundisha
Hakuwa mtanzania huyu japo alifanya mengi sanaRemy ongala
Nimefurahi kukuonaJuma Kilaza
STEVE NYEREREAfrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi
Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.
View attachment 623278
Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
Hakuwa mtanzania huyu japo alifanya mengi sana