Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
- Thread starter
-
- #61
Jaman mmmhh
Mtanzania mwenye asili ya Congo na mkewe ni Mtanzania mwenye asili ya uingereza.Kumbe? Alikuwa raia wa nchi gani?
Aliuwawa na mwanamke mkuu..shujaa naeAliifanyia nn nchi yake?
TUNDU LISSU
STEVE NYERERE
Fuatilia vizuri record yake kaka shida ya watanzania tunaangalia maisha ya mtu ingekuwa hivyo duniani huko yule msenge elton asingepewa sifa ya sir wanachoangalia wenzetu ni achievement kwenye carrier yake na character yake nje ya kaziDiamond Platinum only.. Tatizo ni rekodi ya tabia yake tu.. Breda was clean if my records are clear..
Cc Heaven Sent espy
We uangaliagi TV jombaa?Wakuu, hawa ni watu wa sanaa?
Mange kimambiAfrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi
Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.
View attachment 623278
Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
yaani kwa maana nyingine ni kwamba hatuna badoWakuu, hawa ni watu wa sanaa?
We uangaliagi TV jombaa?
Ata ili 'muvi' ya kurushiwa risasi Dom hukuiona?
Mkongo kindakindaki chiefKumbe? Alikuwa raia wa nchi gani?
TUNDU LISSU