Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Hapa ni aslay na wimbo wake Natamba.....nauza dagaa nikakununulie VX.
 
Steven kanumba ni mtu wa kuigwa Tanzania bado sijaona mfano wake jamaa akikuwa anakipaji

Hatutengenezi sanamu za walevi paedophiles, hili sio taifa la watu waliokosa akili.
 
Back
Top Bottom