Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Na huwezi pata mshindi kati ya hawa,wote walikuwa malejendari haswaa.

Yaan ukimsikiliza marijani rajab unasema huyu ndo meenyewe ukigeuka upande wa pili ukimsikia mbaraka mwishehe unasema mwanamuziki si ndo huyu yaaan huwezi chagua mmoja kati ya hawa.
Sema ninachokiona ni kuwa Mwinshehe alituacha mapema sana, nadhani alikuwa kwenye 35...ingawa kumekuwa na rumors za hapa na pale kuwa alikuwa na mpango wa kuachana na muziki ajikite kwenye masuala ya kidini zaidi...ila wangesimama wote jukwaani na Jabali kwa muda mrefu ndio tungekuwa na ushindani wa haki.
 
Sema ninachokiona ni kuwa Mwinshehe alituacha mapema sana, nadhani alikuwa kwenye 35...ingawa kumekuwa na rumors za hapa na pale kuwa alikuwa na mpango wa kuachana na muziki ajikite kwenye masuala ya kidini zaidi...ila wangesimama wote jukwaani na Jabali kwa muda mrefu ndio tungekuwa na ushindani wa haki.
I concur with you broo
 
Aiseee! Umenikumbusha mbali sana, Juma Kilaza jirani yangu wa zamani pale Mt. Fire, Opp na Mashine ya Nafaka kwa wauza Mchele! Kiukweli alikuwa anajua lakini sidhani kama anafikia level za akina Salum Abdallah, Mbaraka Mwinshehe!
Aiseee
 
Oh Jesus! I know that feeling trying to turn back the clock!
Ilikuwa nimgonge mtoto kumkwepa nikagonga mti. Siisahau ile siku, nilikuwa napata night mares karibia kila siku!!
 
Bado hatuna mwanamuziki wa level za Brenda Fassie,Yvone Chakachaka,Mbilia Beli,Oliver Mtukuzi n.k.Simply hatuna mwanamuziki ambae ukienda hizo nchi wanazotoka hao nguli anatajwa na raia wake kama sisi tunavyowataja hao wa kwao.So kama kigezo ni kupeperusha vyema bendera ya nchi kwa kuimba muziki wenye mahadhi ya utamaduni wetu...ni hatujabahatika ndo jibu sahihi.
Hao akina Mwinshehe walivuma ndani ya nchi tu.Kama tunataka kujenga sanamu kweli inabidi tupunguze vigezo.Vya akina Fassie ni vikubwa sana kwetu.
 
Na kama tutapiga kura vijana ni wengi kuliko wazee..
Tunaweza kupata maona ya nchi za kusini, magharibi, kaskazini na hata nnje ya Africa ni mwanamuziki gani wa Tanzania wanamjua zaidi hapo tutapata majibu kama ni Marijani, Mwinshehe au Diamond kama tunaangalia kuitangaza nchi kama kigezo kikuu
Ushawahi kumsikia frank humplik?
 
Kuna wakati alikuja bongo alifikia sea cliff hôtel dar,kuna jamaa yangu alikuwa ni potter pale kuna Siku brenda alikuwa anatokaa jamaa akambebea mizigo yake jamaa akawa anaskilizia tip ah brenda akampaa jamaa peace
Ya bangi.....jamaa akachokaaa balaaaa maana alijuaa anapewa mapene

Ova
 
Platnumz D..

Nyie wazee kama mlushindwa kuwaenzi hao wazee enzi zenu.....

Hizi si zama zenu.

Diamond Platnumz.
 
Back
Top Bottom