RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna mtu alikuhonga?Daaah umenikumbusha mbali sana ulivyotaja hiyo kluger jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu alikuhonga?Daaah umenikumbusha mbali sana ulivyotaja hiyo kluger jamani.
Mwe mwe mweeeeh!! Hapana bwana!Kuna mtu alikuhonga?
Sema ninachokiona ni kuwa Mwinshehe alituacha mapema sana, nadhani alikuwa kwenye 35...ingawa kumekuwa na rumors za hapa na pale kuwa alikuwa na mpango wa kuachana na muziki ajikite kwenye masuala ya kidini zaidi...ila wangesimama wote jukwaani na Jabali kwa muda mrefu ndio tungekuwa na ushindani wa haki.Na huwezi pata mshindi kati ya hawa,wote walikuwa malejendari haswaa.
Yaan ukimsikiliza marijani rajab unasema huyu ndo meenyewe ukigeuka upande wa pili ukimsikia mbaraka mwishehe unasema mwanamuziki si ndo huyu yaaan huwezi chagua mmoja kati ya hawa.
I concur with you brooSema ninachokiona ni kuwa Mwinshehe alituacha mapema sana, nadhani alikuwa kwenye 35...ingawa kumekuwa na rumors za hapa na pale kuwa alikuwa na mpango wa kuachana na muziki ajikite kwenye masuala ya kidini zaidi...ila wangesimama wote jukwaani na Jabali kwa muda mrefu ndio tungekuwa na ushindani wa haki.
Hope its a good memory.Mwe mwe mweeeeh!! Hapana bwana!
AiseeeAiseee! Umenikumbusha mbali sana, Juma Kilaza jirani yangu wa zamani pale Mt. Fire, Opp na Mashine ya Nafaka kwa wauza Mchele! Kiukweli alikuwa anajua lakini sidhani kama anafikia level za akina Salum Abdallah, Mbaraka Mwinshehe!
Sio good kihivyo maana niliibamiza acha tu!Hope its a good memory.
Oh Jesus! I know that feeling trying to turn back the clock!Sio good kihivyo maana niliibamiza acha tu!
Ilikuwa nimgonge mtoto kumkwepa nikagonga mti. Siisahau ile siku, nilikuwa napata night mares karibia kila siku!!Oh Jesus! I know that feeling trying to turn back the clock!
Ushawahi kumsikia frank humplik?Na kama tutapiga kura vijana ni wengi kuliko wazee..
Tunaweza kupata maona ya nchi za kusini, magharibi, kaskazini na hata nnje ya Africa ni mwanamuziki gani wa Tanzania wanamjua zaidi hapo tutapata majibu kama ni Marijani, Mwinshehe au Diamond kama tunaangalia kuitangaza nchi kama kigezo kikuu
Umeambiwa marehemu kwani hao ni marehemuDiamond katutambulisha vzur kimuziki, kanumba pia ni wa kuenziwa na lady jaydee