Afrika Kusini: Wanawake waruhusiwa kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja

Wachache wapo wenye nguvu ila wengi nyoronyoro tu

Life style inawaharibu sana vijana wa kisasa. wanakula vyakula ambavyo havina virutubisho. Wee mwnaume gani ukitaka kula muwa wanakuwekea kwenye glass. Bora hata mwanzoni walivyokuwa wanawakatia vipande vidogo vidogo, halafu wanawawekea kwenye vimifuko.
 
Wapeni mbinu za kibabe
 
Mada ya kijinga hii.Waachiwe wenyewe na ujinga wao.
 
Back
Top Bottom