Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

South wako vizuri
Wanataka kuhoji uhalali au umuhimu wa uwepo wa hiyo ICJ
Kama ina double standard au iliundwa kwa ajili ya kudeal na nchi kadhaa maalum na nyingine hazihusiki ijulikane au kama vipi ivunjwe kabisa nafikiri mjadala unaenda kuwa mkali sana
Kwasababu kesi ilivyokuwa waliamini watashinda sasa je wakishinda Israel ingechukuliwa hatua?
Itakuwa ngumu na majibu yanatakiwa

Kuhusu south kusuport Russia ICJ iko wazi
Mkafungue kesi
Lakini ukiona nimekosea niwajibishe usiponiwajibisha haina maana kwamba ukikosea sitokuchukulia hatua
 
Huyu Bibi kama walivyo waislam wengine weus ametanguliza masirahi ya dini yake mbele kuliko Taifa.
Inaashilia kama angelikuwa Rais angeliingiza South Africa In total war na Israel.
 
Ile kesi ilikuwa ni kutafuta kiki tu.... Sasa hivi ndo wanapigika kweli. Na maji tumeanza kuyajaza kwenye mahandaki
Huyo Bibi( waziri wa mambo ya nje wa South Africa) ni Mzuru aliye-slim.
Akiwa Chuo huko Botswana ndipo akakutana na Bwana yake Mr Sharif.
So, aangalii interest za Taifa lake bali Dini yake tu. Wasauzi wengi wapo kinyume na hii kesi.. Luckily enough ni waziri tu, angelikuwa Rais South Africa ingeliishambulia Israel Kijeshi.
 
Back
Top Bottom