South wako vizuri
Wanataka kuhoji uhalali au umuhimu wa uwepo wa hiyo ICJ
Kama ina double standard au iliundwa kwa ajili ya kudeal na nchi kadhaa maalum na nyingine hazihusiki ijulikane au kama vipi ivunjwe kabisa nafikiri mjadala unaenda kuwa mkali sana
Kwasababu kesi ilivyokuwa waliamini watashinda sasa je wakishinda Israel ingechukuliwa hatua?
Itakuwa ngumu na majibu yanatakiwa
Kuhusu south kusuport Russia ICJ iko wazi
Mkafungue kesi
Lakini ukiona nimekosea niwajibishe usiponiwajibisha haina maana kwamba ukikosea sitokuchukulia hatua