Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Ngumu sana Mungu fundi mwanamme atabaki kuwa mwanamme, Ni kitu kisichowezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mtazamo wako, kila mtu anamtazamo wake ktk kufasiri jambo, mimi nitabaki na mtazamo wangu (sihukumu) kuhusu mwanamke msamaria nikiwa na maana ya kuwa huyu mwanamke alikuwa na viashiria vyote vya kikahaba maana alimshawishi Yesu aamini kuwa yeye ni single mother 😁... soma vizuri hio mistari " ...Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanamume unayeishi naye sasa si mume wako!” huo mstari hauelezi kinagaubaga kwamba yule mwanamke alimiliki wanaume zaidi ya mmoja kwa pamoja (at a time) ili awe na sifa ya "kahaba".
Kuna uwezekano pia kwamba aliishi na mwanaume wa kwanza (mume halali) pengine akafariki au wakapeana talaka; akaishi na wa pili (mume halali); vivyo hivyo hadi wa tano (only one at a time). Uhakika kwamba ni yupi hakuwa mume halali ni yule wa sita ambapo Yesu anatueleza kwa uwazi tofauti na wale watano wa mwanzo ambao hatuelezwi walikuwa mume halali au la!
Pointi nayotaka kueleza hapa ni tusikimbilie kuhukumu vitu tusivyo na uhakika navyo!
... nakubaliana na wewe; tukienda kwa hisia (mtazamo binafsi/subjectivity) badala uhalisia (objectivity) huyo mwanamke anaweza kupewa kila aina ya sifa mbaya. Pale ambapo jambo halina uhakika ni bora kuwa wakweli badala ya mitazamo binafsi.Huo ni mtazamo wako, kila mtu anamtazamo wake ktk kufasiri jambo, mimi nitabaki na mtazamo wangu (sihukumu) kuhusu mwanamke msamaria nikiwa na maana ya kuwa huyu mwanamke alikuwa na viashiria vyote vya kikahaba maana alimshawishi Yesu aamini kuwa yeye ni single mother 😁
Bahati mbaya Yesu alikuwa hatafuti demu hivyo alimpiga gospel hadi huyo mama akastaajabu kisha akaenda kueneza habari za Yesu kwa wengine
Siku zote sheria huzingatia changamoto ya eneo/nchi husika na kabla ya kutungwa wataalam hufanya utafiti ili kuweza kubaini ukubwa wa tatizo.Nimeshangazwa sana leo hii nikisikiza Vyombo vya habari (Redio fulani TZ ) wakisema kuwa Bunge la South linafikiria kupitisha sheria inayowaruhusu wanawake kuolewa na zaidi ya Mwanamume mmoja.
Je wadau Hiimunaionaje?
Haya si ndiyo yale ya Safia Kawawa ya Miaka ya 80? iliyosababisha maandamano makubwa Zanzibar.? na watu kadhaa kujeruhiwa na engine kuwawa na Polisi.
Karibuni kwa maoniView attachment 1788619
mbona umemsahau Mfalme Suleiman mkuu?binadamu ndivyo walivyo kujaribu kila jambo. Mungu alimpa Adamu mke MMOJA, Kaini akaoa wawili, kule sodoma wakaoana wanaume kwa wanaume,Sasa Afrika Kusini nayo imevumbua ndoa mpya mwanamke mmoja wanaume wawili. Ifuatayo sijui itakuwa ipi?
won't you accept?Hii ingekuwa Tz mwanaume mmj hv hvi lazima angetia timu
Asante kwa kunikumbusha.Tamaa mbayambona umemsahau Mfalme Suleiman mkuu?
Itabidi hao Wanaume wapeane zamu ya kutunga mimba.Hatari ya magonjwa ya kuambukizana lakini mtoto akizaliwa babake atakuwa ni nani??
Dini sahihi kwa maisha ya mwanadamu ni uislmau., ndio dini pekee iliyokuja muongozo sahihi kwenye jambo hili.,
Kwa staili hii wacha waolewe na mume zaidi ya mmoja.
Hawa ni kama Daladala tuu.kila mtu anapanda.
Unaowa leo kesho unaacha.