Shida yako kingereza kimekupiga chenga. Hivi wewe una umeme was kutosha kuendesha train?
Sisi tunaongea facts, hatutapiki maneno tu bila ku research kama nyinyi, nyi kazi yenu kukaa vijiweni na kujitungia story, sasa ni wapi ulijikuna hadi ukajiamulia 180 ndo mwisho kwa reli ya kenya?????Treni ya 240 km/hr kwa reli ipi?? Ile mliyopigwa mchana kweupe na wachina.. I doubt kama inaweza hata kusukuma 180.
endeleeni kupanga na kutia saini. tutarudi hapa 2025 tuone matokeo ya hizo saini za reli ya umeme!!Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.
“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.
Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.
Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.
Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.
Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Nimefurahishwa na Waziri Mbarawa
Anasema Wale wamitandaoni sasa waandike!!
Kwa hilo usikonde mkuu train lazima ijengwe kuhusu umeme mgao hakuna kama utakuwepo tutagawana mitaani ila train itaenda tu.Nimejaribu kuvuta picha baada ya hiyo reli nakaona fahari kwa Tanzania yangu lakin nikajiuliza tena huo umeme wa uhakika kiasi hicho tunao?
Mmekutana sgr itajengwa tuUmeongea jambo la maaana sana maana wa-Tz wengi wamekalia ushabiki tu bila kuangalia Stima itatoka wapi ila ni kushangilia hata kama ni stories.
Stima hakuna ya kuwasha taa Tu. Hiyo ya kuendesha Tren inapatikana wapi
siwezi kuamini hadi nione mkataba, kitendo cha waziri kusema waliokua wanaandika kwenye mitandao ya kijamii tuone kama wataandika tena, inadhihirisha kuwa lengo la kusign mkataba likukua ni kuondoa malalamiko ya wananchi juu ya utapeli wa serikali kwenye mradi huu wa reli.Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.
“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.
Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.
Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.
Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.
Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Nonsense!Alipojuja Kibaki kuaga Tanzania alituasa sana kwa sauti yake "Ninyi watanzania mpende pia kutoka muone wenzenu nchi jirani wanafanya nini sio kukaa pwani pwani tu " Ukimsikiliza Mbongo utasikitika anajua Dar ndio bora, Tanzania ndio kisiwa cha Amani, anajua ndio nchi Tajiri, akifika tu hapo Kericho anashindwa hata kusalimiana
Tuombe iwe hivo otherwise itakuwa nchi ya kusadikikaKwa hilo usikonde mkuu train lazima ijengwe kuhusu umeme mgao hakuna kama utakuwepo tutagawana mitaani ila train itaenda tu.
haujawaona uko juu mkuu nini?? mihemko imeshaanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakenya watakuja na kelele zao za kike hapa