Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Shida yako kingereza kimekupiga chenga. Hivi wewe una umeme was kutosha kuendesha train?

ati wanadai kuwa tatizo la kushughulikia umeme litatatuliwa huku project ya ujenzi ikiendelea, kwa mategemeo kuwa pale project itakapo kamilika basi tatizo la umeme bongo ndipo litakapokuwa limekwisha.

inanifanya niwaze kuwa tatizo la umeme kutatuliwa miaka yote hiyo kumbe lilikuwa linangoja mpaka tulete treni za umeme?
 
Waipeleke na kwetu Tanga wengine tumechoka kuitwa wanaume wa dsm, nataka niishi Tanga nifanye kazi Dar
 
Treni ya 240 km/hr kwa reli ipi?? Ile mliyopigwa mchana kweupe na wachina.. I doubt kama inaweza hata kusukuma 180.
Sisi tunaongea facts, hatutapiki maneno tu bila ku research kama nyinyi, nyi kazi yenu kukaa vijiweni na kujitungia story, sasa ni wapi ulijikuna hadi ukajiamulia 180 ndo mwisho kwa reli ya kenya?????

read carefully

.Posted Monday, November 21 2016 at 19:51
IN SUMMARY
Kenya to install 609 kilometres of electric track between Nairobi and Mombasa in latest pact with Uganda and Rwanda.
The electric upgrade will be done within five years and ahead of Uganda linking its SGR line to the Kenyan one.
Taxpayers will fork out nearly Sh49 billion more following fresh plans for the electrification of the standard gauge railway (SGR) line between Mombasa and Nairobi.
Transport secretary James Macharia said the 609 kilometres of railway track from Mombasa to Nairobi would be made electric in a deal reached with Uganda and Rwanda.
The locomotives will in the immediate term be powered by diesel, but the electric upgrade will be done within five years and ahead of Uganda linking its SGR line to the Kenyan one.
China Road and Bridge Corporation, which was appointed to build the Mombasa-Nairobi line, will be offered 15 per cent over the current construction costs of Sh327 billion or Sh49.05 billion more to upgrade the line.
An electric track is needed for fast movement of bigger containers and passengers in the quest to boost East Africa’s competitiveness as an investment destination.
“The protocol signed between the four countries was to do an electric track. In Kenya, we started with a diesel one but we need to convert it to electric before Uganda commissions their bit, which is in about five years,” said Mr Macharia.
“In our estimates, to convert the track will cost about 15 per cent above the cost incurred for the SGR,” he added.
The faster railway being built from Mombasa port is expected to reach Nairobi early next year and open up to commercial services by mid-2017.
The second leg of the Mombasa-Nairobi line will extend to Naivasha and eventually stretch to the Kenyan border town of Malaba from where it will link up with the Ugandan line as well as other landlocked countries, including Rwanda.
READ: New rail set to increase transportation of goods by 32 per cent
The goal is to cut the cost of transport and boost trade, by replacing the slower, narrow-gauge line.
Chinese ambassador to Kenya Liu Xianfa told the Business Daily that President Uhuru Kenyatta supports the upgrade plans.
“We told the President this was possible, but we needed access to reliable power,” said Dr Xianfa. “If effected, it means we can have lunch in Nairobi and later be in Mombasa for dinner in the evening.”
Dr Xianfa reckons that the electric train will move at a speed of 240 kilometres per hour, up from the planned diesel engine speed of 120 kilometre per hour.
The tender for the multi-billion shilling railway project was won by China Road and Bridge Corporation and sparked widespread criticism over the transparency of the process.
SGR electric upgrade to cost taxpayers Sh49bn more
 
Tatizo langu lipo,hapo kwenye umeme,watatumia umeme wa aina gani,huu wa tanesco au utakua unajitegemea nje ya huu wa tanesco?,naomba nijuzwe hapo kwanza,kabla sijafurahia huu mradi.
 
“We told the President this was possible, but we needed access to reliable power,” said Dr Xianfa.

Ethiopia - Population 90million, installed Generation capacity 2,400MW (about to add 6000MW) .... electricity penetration 26%

Kenya - population 45 million, IGC 2,300MW,penetration 60% (according to china, not reliable or enough to run a railway)

Tanzania , 50million, IGC 1,750MW, penetration 46%

make your conclution
 
AnkaraKonya.jpg
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.

Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.

“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.

Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
train-jpg.466922

Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.

Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.

Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.

Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
endeleeni kupanga na kutia saini. tutarudi hapa 2025 tuone matokeo ya hizo saini za reli ya umeme!!

16427656_10154879482858956_8840918935218381917_n.jpg

6fc879af2e8b7c69f16546f90e0ba082.jpg
32591275226_0fb5c55748_b.jpg
16195938_1265007240258918_5122523808012284317_n.jpg
32591274146_7fbaa13e15_b.jpg
32631706665_635707c5f9_b.jpg
32252417920_0afe1c3b0e_b.jpg
32631707615_605a99eb45_b.jpg
16298404_10154958656744197_806228246100211620_n.jpg
16265755_10154958656534197_8340038401708608493_n.jpg
16298875_10154958655649197_4428149513251693277_n.jpg
16427533_10154958656964197_8840253406267505804_n.jpg
16142436_10154909160339197_1218151640498207534_n.jpg
AlmqtwS.jpg
 
Nimejaribu kuvuta picha baada ya hiyo reli nakaona fahari kwa Tanzania yangu lakin nikajiuliza tena huo umeme wa uhakika kiasi hicho tunao?
Kwa hilo usikonde mkuu train lazima ijengwe kuhusu umeme mgao hakuna kama utakuwepo tutagawana mitaani ila train itaenda tu.
 
Umeongea jambo la maaana sana maana wa-Tz wengi wamekalia ushabiki tu bila kuangalia Stima itatoka wapi ila ni kushangilia hata kama ni stories.
Stima hakuna ya kuwasha taa Tu. Hiyo ya kuendesha Tren inapatikana wapi
Mmekutana sgr itajengwa tu
 
Tz maneno mengi sana, tunaongea kama mradi umeanza vile
 
Kwa picha na kwenye mitandao Tutajenga Lakini halisi, nchi hii imeharibiwa na siasa mno, bahati nzuri kwa wanasiasa wetu kuwa watanzania ni mabingwa wa kusahau mambo kwa haraka, habari za train ya umeme dar zaidi ya miaka 3 imepita tuliletewa na picha hapa tukashangilia yakapita, sitaki na wala sitapongeza jambo lolote la wanasiasa mpaka likamilike
 
AnkaraKonya.jpg
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.

Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.

“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.

Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
train-jpg.466922

Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.

Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.

Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.

Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
siwezi kuamini hadi nione mkataba, kitendo cha waziri kusema waliokua wanaandika kwenye mitandao ya kijamii tuone kama wataandika tena, inadhihirisha kuwa lengo la kusign mkataba likukua ni kuondoa malalamiko ya wananchi juu ya utapeli wa serikali kwenye mradi huu wa reli.

Treni ya umeme ni ndoto ya mchana ,kwa mawazo yangu, labda tuone hiyo contract.
 
Alipojuja Kibaki kuaga Tanzania alituasa sana kwa sauti yake "Ninyi watanzania mpende pia kutoka muone wenzenu nchi jirani wanafanya nini sio kukaa pwani pwani tu " Ukimsikiliza Mbongo utasikitika anajua Dar ndio bora, Tanzania ndio kisiwa cha Amani, anajua ndio nchi Tajiri, akifika tu hapo Kericho anashindwa hata kusalimiana
Nonsense!
 
Kwa hilo usikonde mkuu train lazima ijengwe kuhusu umeme mgao hakuna kama utakuwepo tutagawana mitaani ila train itaenda tu.
Tuombe iwe hivo otherwise itakuwa nchi ya kusadikika
 
Back
Top Bottom