Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

I like such progress. But let's wait to see construction commencement. I remember standard gauge central line song that started some years ago but up to the moment nothing is going on.
 
Wakenya hapa lazima wakae, iga ufe, Tz is rich and resourceful.. sasa ni maendeleo tu..

Kenya wamejenga gari moshi la 1980 like.. haaa, linatumia makaa ya mawe, omg..!!

Wacheni maneno wakenya, leteni train ya umeme..!!


 
Safi wanaoendelea kuandamana na waandamane tu na watapigwa tu
 


Ila sisi tutatumia underground cables.. sio hiyo milingoti kubebea umeme, haipendezi...

 
Kwanini hakuna reli aina hii kwenda Kusini - Mtwara, Ruvuma, Iringa, Mbeya, Songwe, Rukwa ambako pia kuna resources za kutosha?
 
Iko vizuri MUNGU TUBARIKI TANZANIA
 

Mkuu!
siko usingiizni. sisi bado sana kwenye kutekeleza miradi....hebu niambie FlyOvers ziko wapi kwanza. Tatizo tunaongea sana. halafu baadaye tunaingia mitini!
Nahisi upo kijijini wewe
kama ungelikuwa mjini usingeli ulizia hilo

fly over hazijengwi kama kibanda cha machinga!!


Ujenzi unaendelea
ulitakiwa uulize tumefikia wapi?
 
Hakika mbwembwe zinazidi mategemeo!

sisi kwa masuala ya mipango tu tuko juu!ila inapokuja suala ma utekelezaji hapo ndio pumba na mchele hutenganishwa!
wewe na nani!!?
wacha kuabisha wanao jitambua
 
Halafu inaelekea Mwanza na siyo kigoma? Dar Mwanza kuna barabara ya Lami, Kigoma ambapo hakuna lami kutoka Dar imeachwa hoi, mpaka aje Raisi kutoka kigoma ndo itajengwa? Haya bwana...
Kigoma hamna lami?
 
Lugha ya kiswahili imerasimishwa kenya mnamo 2000 kama lugha rasmi.

Lugha ya kiswahili imerasimishwa Tanzania mnamo 1880s kama lugha rasmi.

Nani mwenye lugha?

Kurasimishwa hakumaanishi unakimiliki!....huo urasmishwaji wa kitanganyika ulikua ni ulazimishwaji!
 
Kurasimishwa hakumaanishi unakimiliki!....huo urasmishwaji wa kitanganyika ulikua ni ulazimishwaji!
Chama cha Kiswahili Kenya kimesajiliwa kama NGo na mtu binafsi 1990s

Baraza la Kiswahili Tanzania limepitishwa na bunge rasmi kama mamlaka kamili ya uendelezaji lugha ya kiswahili Tanzania 1964

Nani mwenye lugha?
 
Achana nae mkuu ufipa ndio walivyo hukumbuki kwenye ndege walibisha hazitopatikana na zilipofika wakasema chakavu na hana hii train yetu ikikamilika hawakawii kusema ya udongo na hata huo umeme hauui basi ilimradi hawakosi cha kuongea.
Kwani huzo ndege si chakavu? Hivi mfanyiweje mjue mmepigwa kwenye ndege?
 
waongeze mzigo walete 200km/h /250 km/h ili iwe inawahi zaidi....lkn kama ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…