Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina speed kama itakayojengwa Tanzania!Mkuu ipi kati ya Tanzania na Morocco ni ya kwanza?
Sawa hapo nimeelewahaina speed kama itakayojengwa Tanzania!
sitarajii chochote chengine kutoka kwenu.... nimeshawazoea kawaida yenu hio, ukikosa hoja badala ya kufunga domo, mnaanza story nyingi ambazo hazihusiani na mada
Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.![]()
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.
“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.
Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
![]()
Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.
Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.
Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.
Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Iko vizuri MUNGU TUBARIKI TANZANIAKampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya uturuki na MOTA-ENGIL AFRIKA ya ureno kwa grahama ya dola zaidi ya bilioni moja za kimarekani.![]()
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.
“Tunataka kuifanya nchi yetu iwe ndogo kwa kutumia miundombinu ya kisasa ndio maana Serikali imeamua kujenga reli hii itakayotumia umeme na kwenda spidi kubwa kuliko nyingine zote barani Afrika”, amesema Prof. Mbarawa.
Ameongeza kuwa ujenzi wa reli hiyo utaongeza chachu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi na kubainisha kuwa Safari ya Dar hadi Moro itatumia muda wa saa 1:16 wakati Dar hadi Dodoma itatumia muda wa saa 2:30 na safari ya Dar had Mwanza itatumia muda wa saa 7:30.
![]()
Aidha, Prof. Mbarawa amesisitiza kuwa gharama za ujenzi wa reli hiyo haitakuwa sawa na mikoa mingine kutokana na kutofautiana na hali ya jiografiia kwenye mikoa ambapo reli hiyo itapita.
Kuhusu kukamilisha mradi huu, Waziri Prof. Mbarawa ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa reli hiyo kwa mwaka ujao wa fedha na kuendelea kutafuta mkopo wa gharama nafuu ili kufanikisha ukamilishawaji wake.
Waziri Prof. Mbarawa amewataka wadau kujitokeza kwa wingi kuomba zabuni zIlizotangazwa hivi karibuni za ujenzi wa reli hiyo kwa awamu nyingine kutoka Morogoro-Makotopora KM 336, Makotopora-Tabora KM 294, Tabora-Isaka KM 133 na Isaka hadi Mwanza KM 248 ambazo zinatarajiwa kufunguliwa mwezi Aprili mwaka huu na kuahidi kuwa utaratibu wake utatendeka kwa uwazi na haki.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi Miliki ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa amesema kuwa ujenzi wa reli hiyo utajengwa kwa muda wa miezi 30 kutokea sasa na kuhusisha ujenzi wa miundombinu ya umeme, Stesheni sita za abiria na sita za kupishani treni na ujenzi wa wigo wa KM 102 kwa usalama wa watu na magari.
Kwa upande wake Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp ameiahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali katika mradi huo mkubwa na kuupongeza uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika kufanikisha maendeleo kwa wananchi wake.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Nahisi upo kijijini wewe
Mkuu!
siko usingiizni. sisi bado sana kwenye kutekeleza miradi....hebu niambie FlyOvers ziko wapi kwanza. Tatizo tunaongea sana. halafu baadaye tunaingia mitini!
wewe na nani!!?Hakika mbwembwe zinazidi mategemeo!
sisi kwa masuala ya mipango tu tuko juu!ila inapokuja suala ma utekelezaji hapo ndio pumba na mchele hutenganishwa!
Kigoma hamna lami?Halafu inaelekea Mwanza na siyo kigoma? Dar Mwanza kuna barabara ya Lami, Kigoma ambapo hakuna lami kutoka Dar imeachwa hoi, mpaka aje Raisi kutoka kigoma ndo itajengwa? Haya bwana...
Hongera zenu ila hapo pa kusema kwamba yenu ndio itakua ya kwanza ya umeme naona kama mumeniacha kwenye mataa. Maana nielewavyo mimi hata SGR yetu itakua ya umeme SGR electric upgrade to cost taxpayers Sh49bn more
Your worries are far more than just electricity. Unless you allow those Turks to manage the whole topology for the next 20 years, am not sure if you Bongos are capable of maintaining trains moving at that speed.
Just recently I saw somewhere in the news your deluxe train overturned, luckily it wasn't travelling fast.
![]()
Tuwe makini na hizi treni za mwendo kasi, yasitokee kama yale ya Tanzania
Kama tumeweka umeme hadi kwenye nyumba hiziKwa hilo usikonde mkuu train lazima ijengwe kuhusu umeme mgao hakuna kama utakuwepo tutagawana mitaani ila train itaenda tu.
Lugha ya kiswahili imerasimishwa kenya mnamo 2000 kama lugha rasmi.Hii ndiyo inayoitwa VIPAO UMBELE!.......akili ni nywele kila mtu ana zake!
Lugha ya kiswahili imerasimishwa kenya mnamo 2000 kama lugha rasmi.
Lugha ya kiswahili imerasimishwa Tanzania mnamo 1880s kama lugha rasmi.
Nani mwenye lugha?
Chama cha Kiswahili Kenya kimesajiliwa kama NGo na mtu binafsi 1990sKurasimishwa hakumaanishi unakimiliki!....huo urasmishwaji wa kitanganyika ulikua ni ulazimishwaji!
Inapendeza mkuu.................Kama tumeweka umeme hadi kwenye nyumba hizi![]()
Treni haita tushinda
Kwani huzo ndege si chakavu? Hivi mfanyiweje mjue mmepigwa kwenye ndege?Achana nae mkuu ufipa ndio walivyo hukumbuki kwenye ndege walibisha hazitopatikana na zilipofika wakasema chakavu na hana hii train yetu ikikamilika hawakawii kusema ya udongo na hata huo umeme hauui basi ilimradi hawakosi cha kuongea.
Kweli umeme vijijiniKama tumeweka umeme hadi kwenye nyumba hizi![]()
Treni haita tushinda