Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Mkuu!
siko usingiizni. sisi bado sana kwenye kutekeleza miradi....hebu niambie FlyOvers ziko wapi kwanza. Tatizo tunaongea sana. halafu baadaye tunaingia mitini!
Mkuu unaishi wapi??
IMG_20170123_153217.jpg
IMG_20170123_153442.jpg
IMG_20170123_153210.jpg
IMG_20170123_153100.jpg
 
Tatizo langu lipo,hapo kwenye umeme,watatumia umeme wa aina gani,huu wa tanesco au utakua unajitegemea nje ya huu wa tanesco?,naomba nijuzwe hapo kwanza,kabla sijafurahia huu mradi.
Wewe ni professional kwel?
U don't know this???
Mfumo wa train za Umeme hutumia mfumo wake wa umeme..
 
Wenzetu wanafanya sisi bado tupo kwenye yale yale tutafanya!Hadi nione inakamilika ndiyo nitasema
Maana serikali yetu kwa kuongea haijambo
 
Umeongea jambo la maaana sana maana wa-Tz wengi wamekalia ushabiki tu bila kuangalia Stima itatoka wapi ila ni kushangilia hata kama ni stories.
Stima hakuna ya kuwasha taa Tu. Hiyo ya kuendesha Tren inapatikana wapi
Sasa kwa nini usihamie kwa hao wasio watz?
Mbona huwa mnajiaibisha hivi??
Ukiwa na cdm ndio upinge kila jema linalofanyika na serikali yako? Unataka nini sasa?

Mimi ni Anti-ccm, but kwa hili napongeza serikali kwa uthubutu, mawazo yenu kama nyie ya kusitasita hatuyataki kamwe,
Ni mawazo mgando ya miaka ya kizamani sana yanayolenga kuturudisha nyuma tena..
Sasa hivi tunataka viongozi wanaojiamini na Kuthubutu kama kina JPM.
 
until hio project ni kama 60% complete, watanzania wenyewe kwa wenyewe hamtaaminiana....... Stop trying so hard for a project that has not started yet ......... ile thread ya kenya SGR iko na kurasa nyingi sana na picha nyingi since day one, siku yenu itafika ya kuanzisha dedicated topic ya picha za SGR yenu ya 'umeme' ..... kwasasa nyote mnafaa mtulie na muache kukurupukwa mkijaribu kushindana na reli za wenzenu ambazo zimeshajengwa
 
Hiyo ndio sababu Kenya ilishelve kuweka stima, miaka itakuja ambapo Kenya ina stima yakutosha, hapo itaweka stima kwenye treni!! Nyaya za stima zimefuata SGR Nairobi hadi pwani, lakini hadi tuwe na power enough ndio treni ziletwe za stima

Ethiopia ina stima ya kutosha, hasa ukizingatia serikali ya Ethiopia haijaweka mikakati kuhakikisha stima imeenda kila pahali Ethiopia, Asilimia 50 ya watu hawana stima! Hivyo inayobaki wapeleke kwa treni!!

Kenya mwanzo wanatafuta cheap na affordable electricity to all Kenyans, a target of 90% by 2018

Hii ndiyo inayoitwa VIPAO UMBELE!.......akili ni nywele kila mtu ana zake!
 
“We told the President this was possible, but we needed access to reliable power,” said Dr Xianfa.

Ethiopia - Population 90million, installed Generation capacity 2,400MW (about to add 6000MW) .... electricity penetration 26%

Kenya - population 45 million, IGC 2,300MW,penetration 60% (according to china, not reliable or enough to run a railway)

Tanzania , 50million, IGC 1,750MW, penetration 46%

make your conclution
Make what? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😛Zitakua zinasonga alafu nani anapakua?? 😛

Kiswahili cha kenya ni comedy tupu

Cha Tanzania pia ni kituko mbele yetu.
In short lahaja pamoja na lafudhi yapo tofauti na yote ni Kiswahili, maneno pamoja na maana hayafanani.
Tanzania haina hatimiliki ya lugha!
Kalb hayawan!
 
Make what? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sitarajii chochote chengine kutoka kwenu.... nimeshawazoea kawaida yenu hio, ukikosa hoja badala ya kufunga domo, mnaanza story nyingi ambazo hazihusiani na mada
 
Yaani watu hawafikilii, kama imewezekana kutengeneza mradi Mkubwa namna hii, serikali itashindwa kuplani kituo kimoja kitakacho operate hiyo treni gase IPO shida ya nn
 
Cha Tanzania pia ni kituko mbele yetu.
In short lahaja pamoja na lafudhi yapo tofauti na yote ni Kiswahili, maneno pamoja na maana hayafanani.
Tanzania haina hatimiliki ya lugha!
Kalb hayawan!
Hahahaa nope kiswahili ni utamaduni na lugha ya tanzania hili halina ubishi na tunajivunia kuitawala afrika mashariki na kati mpaka AU kukirasimisha kiswahili kama lugha rasmi.

Kiswahili ni Tanzania na Tanzania ni Kiswahili nyie wengine ni wasindikizaji tu.

Bora hata kiswahili cha Congo kuliko cha kenya ni kichefuchefu.
 
Weye msukuma sijui mhehe,mzaramo,mchagga, nishakuelezea awali,Pate na Amu/Lamu toka jadi ,lugha imekuwepo,kabla wasomali kuwaelekeza akina Sultani Barghash na wenzake hapo Tanga matopeni kwa shughuli maalum ya kuwatumikisha babu zako hapo hapo Tanga na baadae kuelekea Kilwa pamoja na Sofala.
Mmelazimishwa kiimla kuutumia lugha toka zama zile ,acha kujidhalilisha kwenye kadamnasi.
Kawaulize wajomba zako pale Unguja!

Kalb wahed!
 
Sasa kwa nini usihamie kwa hao wasio watz?
Mbona huwa mnajiaibisha hivi??
Ukiwa na cdm ndio upinge kila jema linalofanyika na serikali yako? Unataka nini sasa?

Mimi ni Anti-ccm, but kwa hili napongeza serikali kwa uthubutu, mawazo yenu kama nyie ya kusitasita hatuyataki kamwe,
Ni mawazo mgando ya miaka ya kizamani sana yanayolenga kuturudisha nyuma tena..
Sasa hivi tunataka viongozi wanaojiamini na Kuthubutu kama kina JPM.
Achana nae mkuu ufipa ndio walivyo hukumbuki kwenye ndege walibisha hazitopatikana na zilipofika wakasema chakavu na hana hii train yetu ikikamilika hawakawii kusema ya udongo na hata huo umeme hauui basi ilimradi hawakosi cha kuongea.
 
Hapa nielewesheni..ina maana tumeacha ule ujenzi wa mwanzo wa standard gauge? Kwa reli za kawaida za abiria na mizigo ? Kutoka dar mpka mwanza kigoma ?
Mbona mikataba mingi sasa inatuchanganya mheshimiwa mbarawa
 
Ongeza bidii kutafuta habari.
 
Wakenya lazima waseme hii nayo iko kwao maana hao jamaa Nouma sana maana kila kizuri kikitendeka tz eti ni chakwao
 
Back
Top Bottom