Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

This I like Tanzanians. Tukitoa mnaweka. Copy and paste or is it copy and change here and there.
Am still waiting to hear your costs and the financiers. Also, please be kind enough to share the images of the bullet trains.
When are you starting the construction by the way? Design ziko wapi? Ama hio ni top secret. Manyangau wasiibe design?
 
He who laughs last, laughs longest.
 
This I like Tanzanians. Tukitoa mnaweka. Copy and paste or is it copy and change here and there.
Am still waiting to hear your costs and the financiers. Also, please be kind enough to share the images of the bullet trains.
When are you starting the construction by the way? Design ziko wapi? Ama hio ni top secret. Manyangau wasiibe design?

design bado imo ndani ya vichwa vya wanasiasa husika! kuhusu suala la hiyo cost mhh! sidhani kama linajulikana na yeyote.
 
Najaribu kufikiria sababu gani umeniwekea hio video lakini sipati picha, hainihusu kabisa kulingana na yale nilokua naongelea.....

Ngojeni technical detail za reli yenu zitolewe mwanzo alafu ndo muanze kuongea, sio kujitafutia mavideo youtube na kubandika tu
 
This I like Tanzanians. Tukitoa mnaweka. Copy and paste or is it copy and change here and there.
Am still waiting to hear your costs and the financiers. Also, please be kind enough to share the images of the bullet trains.
When are you starting the construction by the way? Design ziko wapi? Ama hio ni top secret. Manyangau wasiibe design?
unataka cost ipi wakati ipo wazi km 300 za mwanzo za electrified rail ni US$1.2 bln na financing zitatoka partly Tanzania and partly Turkey!
 
Tumekopi wapi wewe sana sana nyie mmekopi treni za Tazara za miaka ya sabini ,na vp kuhusu BRT tumekopi kwenyu?
 
mwache ajiridhishe! Mwambie atuonyeshe treni ya umeme Kenya! Anaugulia machungu ya kijiba!
 
unataka cost ipi wakati ipo wazi km 300 za mwanzo za electrified rail ni US$1.2 bln na financing zitatoka partly Tanzania and partly Turkey!
Congrats. $1.2b for 300km. Way cheaper than for Kenya. Congratulations are in order. Very impressive.
 
Chama cha Kiswahili Kenya kimesajiliwa kama NGo na mtu binafsi 1990s

Baraza la Kiswahili Tanzania limepitishwa na bunge rasmi kama mamlaka kamili ya uendelezaji lugha ya kiswahili Tanzania 1964

Nani mwenye lugha?

Hakimaanishi chochote, bunge lenyu hilo ni lenyu na mamlaka yake yanaishia mipakani mwa nchi yenu.
 
Yaani kama huelewi uzito wa point hiyo ni kwamba kiswahili nchini Kenya kinasimamiwa na mtu binafsi sababu entity kubwa ya kiswahili Kenya ni mali ya mtu binafsi kama tution Center.

Wakati Tanzania major institution dealing with kiswahili language is regulated by the government in accordance with its own proper laws and regulations.

Fact nyingine.

BAKITA Baraza la Kiswahili la Taifa limeingiza zaidi ya 40% ya maneno ya kiswahili yanayozungumzwa ulimwenguni kote Kenya included

CHAKITA Chama cha kiswahili cha taifa Kenya sina list hata ya neno moja.

Nani mwenye lugha?
 
Akishuhudia utiliaji saini uliofanyika jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli hiyo itayotumia umeme na kwenda kwa spidi ya kilometa 160 kwa saa itakuwa ni ya kwanza kwa Afrika ikifuatiwa na nchi ya Morocco.

Mbarawa aache siasa za kulisha watu matango pori.

Morocco ni 320km/hr kwa hiyo Tz bado sana unless awe anaota.
 
Yaani kama huelewi uzito wa point hiyo ni kwamba kiswahili nchini Kenya kinasimamiwa na mtu binafsi sababu entity kubwa ya kiswahili Kenya ni mali ya mtu binafsi kama tution Center.

Wakati Tanzania major institution dealing with kiswahili language is regulated by the government in accordance with its own proper laws and regulations.

Fact nyingine.

BAKITA Baraza la Kiswahili la Taifa limeingiza zaidi ya 40% ya maneno ya kiswahili yanayozungumzwa ulimwenguni kote Kenya included

CHAKITA Chama cha kiswahili cha taifa Kenya sina list hata ya neno moja.

Nani mwenye lugha?

Ficha upumbavu!

Tukija kwenye mtandao/GOOGLE pekee ,ni Kenya ndiye aliyetafsiri kiswahili kinachotumika kotekote mitandaoni zama zile kabla ya nyie kujua ulimwengu ni nini.
Kamusi zote kuu ni Kenya alizitafsiri na Kiswahili cha Kenya ndicho kilichotumika.
Bado mlikua bongolala mkiketi vijiweni na ujamaa wenu huo, kawaulize watanganyika wenzio mwana.
Kuna uzi ulioletwa humu na bongolala mwenzako baada ya kugundua kila aendako ughaibuni wanakifahamu Kiswahili kama lugha ya Kenya kabla hata kulifikiria neno Tanzania.
Hamjulikani kokote na mlilala usingizi wa pono,mmeshtuka juzi Kenya ikiwa tayari imeshaibeba nembo ya Kiswahili.
Bunge lenyu hilo na sheria pamoja na lafudhi zenu hizo za ajabu zina faida gani kwetu?
Chuo kuu nchi za nje ni walimu wa Kenya walio wengi hufunza Kiswahili, hususan Ulaya na Marekani..CC Marehemu Prof. Ali Mazruhi,Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.
Mwana,Tazania halina lolote la kuizidi Kenya tukija kwenye swala hili,labda nyimbo za kina Ali na Diamondi pamoja na skendo za vijiweni.
Ikiwa ni taarabu,tunayo Mombasa,Lamu na Pate n.k
 
Back
Top Bottom