Tatizo hakuna uwekezajiTutabaki kushabikia na kuchambua mipira ya wenzetu lakini sisi soka letu ni dumavu
Priorities Mkuu,Tunachokosa ni "Clear Identity" ya mpira kama taifa, yaani ilitakiwa itengenezwe miundombinu ya kimpira vijana wawe absorbed kwenye system tuliyoichagua, mataifa mwengi kama Spain, Brazil, Italy, Germany walifanikiwa kwa hii style. Afrika kaskazini Wana hii kitu, ndo maana wachezaji wetu wa kiafrika wanashindwa kushindana kule kaskazini.
Morocco na makombe yao wasichoshe watuFootball espionage & tricky. Hayo ndio maisha Referee didn't consider it as a tough Foul.
Kwanini refa hakupuliza kipenga baada ya mchezaji wa madagascar kusukumwa hadi chini na yule mwmb alofunga bao la tatu
Hawa wamorocco siwaangaliagi kwa sababu hiyo. Kuna namna ambayo siyo sahihi wamejimilikisha mpira wa Africa.Morocco na makombe yao wasichoshe watu
Ugonjwa mbaya sana. Siku waTanganyika wakijikomboa na magonjwa hayo tutafikia malengo.Simba na yanga uccm kila eneo akili zitoke wapi
Badala ya kusifia wengine au kuponda vya kwako, jiulize uko tayari kuangalia sababu za kweli kwa nini tupo hivyo?Happy Sunday Wana JF,
Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya.
Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm).
Tuna Cha kujifunza kutoka kwa wenzetu about chances creation, exploiting the gaps & utilization of opportunities.
Tupo kwenye safari tutafika huko ni KAZI yetu kama Watanzania kuwa serious tutapata best football brains sio kuwa na striker anakimbia utadhani ni lile Robot la Nape
Morocco wapo vizuri period,Hawa wamorocco siwaangaliagi kwa sababu hiyo. Kuna namna ambayo siyo sahihi wamejimilikisha mpira wa Africa.
Hii game ya fainali sikuangalia ila highlight zinaonyesha ni faulo ya wazi. Jiulize refa wa kati, wasaidizi wake hadi wa VAR hawakuiona?
Wajibu wangu kama shabiki I complement fully na matatizo yanajulikana mfano Wizara ilitoa 34B kuboresha Benjamin De Stadium majibu yake tuliyaona. Timu inatoa masharti kwa shirikisho hata viongozi wa WIZARA wanaufyata with nonsense claims finally we decided after them. Kiongozi anaanda mazingira ya ushindi nobody cares Leo tunamsema Samia na CCM tunasahau ya Karia. TUPO KWENYE EVOLUTION TUTAFIKA HUKO WALIPO WENZETU SOON.Badala ya kusifia wengine au kuponda vya kwako, jiulize uko tayari kuangalia sababu za kweli kwa nini tupo hivyo?
Kama taifa tuna mipango, sera na taratibu ambazo zinakinzana.
Unaminya uhuru wa watu kufikiri na kuhoji wakati huo huo unataka wawe na sharp minds maeneo mengine. Una sera kandazimi za kiuchumi ambazo hazichochei maendeleo binafsi ya mtu mmoja mmoja halafu unahubiri vita dhidi ya umaskini. Unasisitiza watu wawe watulivu halafu viwanjani unataka washangilie kama wakenya au waarabu wa kaskazini. Unatumia mpira kama mtaji wa kisiasa halafu unategemea upate timu zinazojitambua.
giant kwa upande wa soka la timu za taifa,ila huku kwenye vilabu egypt tunaongoza.Morocco ni Giants wa Soka kwa sasa. Wakati wao huu.
Wanatamba watakavyoo.