AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

Diara alishawahi fungwa hilo goli sijui ilikuwa timu gani ile kwenye ligi ila upo sawa, nadhani sie tuna tatizo labda aina ya mavyakula tunayokula si rafiki wa akili.
 
Happy Sunday Wana JF,
Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya.
Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm).


Tuna Cha kujifunza kutoka kwa wenzetu about chances creation, exploiting the gaps & utilization of opportunities.
Tupo kwenye safari tutafika huko ni KAZI yetu kama Watanzania
kuwa serious tutapata best football brains sio kuwa na striker anakimbia utadhani ni lile Robot la Nape​
Fei
 
Back
Top Bottom