Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake.

Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa.

Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye.

Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe, Malawi ,Sudani.
 
Back
Top Bottom