Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake.
Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa.
Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye.
Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe, Malawi ,Sudani.