KHM 1995
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 461
- 729
Mimi ni mwana wa Afrika, pia ni mwana wa Afrika Mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia.
Wewe Afrika kwanini had leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako, utapiga hatua na utatumia mikono yako kufanya vile unavotaka si vile wanavyotaka, naililia afrika na silioni tumaini lolote la Afrika kuafanya mission mars.
Afrika ni darkness continent