Afrika ni bara la ujinga na limekosa dira

Ulipofaulu 4m6 ulichagua degree wenzako wakaenda veta kusomea
Umeme wa:
majumbani
Magari
Ujenzi
Kuchora ramani za majengo

Ufundi mwingine saivi wanapiga dili wewe (sio wewe as a person ) unamavyeti yako huna hata ujuzi maana hata fields uliishia kutumwa vitafunwa tu
Mbona unaongea ukweli mkuu [emoji1][emoji1]
 
Poor leadership and lack of technology are perennial deathbed to Africa.
 
Bara hili lina laana ya asili, ukifanikiwa unaanza kuchukiwa na ndugu masikini. Vijana wanapata afadhali ya maisha kwa kushinda kwenye social networks, huko ni matusi, kusengenya na roho mbaya tu. Waafrika weusi sio watu waliokamilika.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwana wa afrika ,pia ni mwana wa Afrika mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia,

Wewe Afrika kwanini had Leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako,utapiga hatua na utatumia mikono yako kufanya vile unavotaka si vile wanavyotaka, naililia afrika na silioni tumaini lolote la Afrika kuafanya mission mars,

Afrika ni darkness continent
Kuna waafrika (watanzania ) had kesho humlaumu JK wa kwanza kwa kuwafukuza wazungu mapema kabla hawajalijenga taifa lao , kpitia kauli zao waweza tambua kilicho ndani ya vichwa hivi vyeusi
 
Back
Top Bottom