Kwa kuwataka waafrika waache mambo Yao na wazingatie weledi unaotakiwa kwa dhati na watatoka kwenye shida inayowajabili hata kwa kuwakosoa tu watajifunza kitu kipyaUmeisaidiaje bara la afrika ndg?
Daaaaa! Hiz picha za viongozi wangu zimenivunja mbavuViongozi wa Afrika-Tanzania wakijaribu kuwaza jinsi ya kuleta maendeleo kupitia tozo[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1968205
twende mars kufanya nini?Mimi ni mwana wa afrika ,pia ni mwana wa Afrika mashariki, nalia na bara langu, nalilia Afrika, machozi yangu bila kuficha hayaendi endi bure, wewe Afrika kwanini uko nyuma kitechnologia,
Wewe Afrika kwanini had Leo bado unapokea misaada, wewe Afrika lini utasimama kwa miguu yako,utapiga hatua na utatumia mikono yako kufanya vile unavotaka si vile wanavyotaka, naililia afrika na silioni tumaini lolote la Afrika kuafanya mission mars,
Afrika ni darkness continent
Hii ndio Afrika wanakosa vyanzo vya mapato, wanawaza kuwanyonya wananchi wa kawaida..., hio ndio Afrika lakin tutafika tu mkuuVile viongozi wa Afrika_Tanzania wakijaribu kuwaza jinsi ya kuleta maendeleo makubwa kupitia tozo😁😁😁
View attachment 1968205
Hatuwezi kuliheshimu kama baadhi ya watu wake kama wewe na viongozi wake kama hawajajitambua,tatizo la mwafrika ni mwafrika mwenyewe, hii imejidhihirisha kupitia mawazo uliyoto, ni jambo gumu sana kuzibadilisha fikra zako ziwe zenye kuwaza mawazo makubwa kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, lakini tutafikaUkute ni kapuku mwajiriwa huna.maono hata ya kuisogeza taasisi yako hata hatua moja mbele unasubiria mshahara.
Au umekimbilia.mbele umekuwa MTUMWA wakufanya kazi4 kwa siku tena vibarua unatumia wifi ya bure kukashifu Africa
Unakaa kwa wazazi unakula ugali wa baba, shemeji, mjomba ushashiba umemaliza kuosha vyombo umevimba kwenye kochi limechakaa unaandika huu ujinga
Pengine dalali tu wa simu za.wizi
Pumbavuuuu heshimu bara letu pimbi wewe[emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
Mkuu uongozi unaanza na.mtu.mmoja mmoja niambie what have you Achieved as a person which is so extraordinary. Ili tukufikirie kukupa kitengo ukiendeshe kwa mafanikioHatuwezi kuliheshimu kama baadhi ya watu wake kama wewe na viongozi wake kama hawajajitambua,tatizo la mwafrika ni mwafrika mwenyewe, hii imejidhihirisha kupitia mawazo uliyoto, ni jambo gumu sana kuzibadilisha fikra zako ziwe zenye kuwaza mawazo makubwa kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano, lakini tutafika
Of course ni true lakin sio applicable Afrika, najua unaufaham ukwel mkuu...Mkuu uongozi unaanza na.mtu.mmoja mmoja niambie what have you Achieved as a person which is so extraordinary. Ili tukufikirie kukupa kitengo ukiendeshe kwa mafanikio
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] don't blame we ukifanikiwa na mimi na yule tutapunguza utegemezi kwa.serikali ambapo itapata fursa kuwasaidia wengineOf course ni true lakin sio applicable Afrika, najua unaufaham ukwel mkuu...
Serikali haiwezi kujiengua katika mtego huu,lawama zote lazima ziangukie tu kwa serikali za Afrika, zimeshindwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana ,Afrika na viongozi wake wamejaa siasa.[emoji1756][emoji1756][emoji1756] don't blame we ukifanikiwa na mimi na yule tutapunguza utegemezi kwa.serikali ambapo itapata fursa kuwasaidia
Ulipofaulu 4m6 ulichagua degree wenzako wakaenda veta kusomeaSerikali haiwezi kujiengua katika mtego huu,lawama zote lazima ziangukie tu kwa serikali za Afrika, zimeshindwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana ,Afrika na viongozi wake wamejaa siasa.
Shida ni weledi wa kiafrica.
kua kwanza.twende mars kufanya nini?
bongo hatuhamiii