baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Tulinganishe hizi kauli "Kama Hutaki kukatwa KODI, HAMIA BURUNDI"...
tukilinganisha na kauli ya Jobu ni nani alipaswa kujiuzuru kwa maslahi mapana ya wananchi....
Hivi wananchi tunajielewa kweli?? Au tunapelekwa na mvumo Wa upepo unapoelekea.... Kiongozi gani au mwanachama gani CC alijitokeza kuipinga hii kauli " kama hutaki kukatwa kodi hamia Burundi" kweli haya ni maneno sahihi kumwambia bosi wako aliyekuweka kumtumikia.
Hii ni wazi kuwepo kwao madarakani hakutokani na kura za wananchi..ndiyo maana hakuna hofu ndani yao Juu ya wananchi ..wanaweza kusema lolote na kufanya lolote ....