Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60 baada ya uhuru ku-undo colonial capitalistic economic system iliyokuwepo ambapo ilikuwa well established and functioning mfano mdogo tu angalia vyama ushirika kama kncu kilikuwa ni chama cha ushrikia kikubwa afrika ni success story communists wakatudanya kwamba ni onevu tukaua, zao la kahawa limesomesha watanzania wengi na kutoa ajira hasa mikoa kama kagera leo hii kagera imekuwa moja kati ya mikoa masikini kabisa ni kwa nini mnafikiri? what happened to kahawa na mazao mengine ya biashara yaliosomesha the whole region? angalia mfano mwingine zimbabwe walikuwa wanaongoza afrika kwa high living standards communists wakawadanganya kwamba mfumo uliipo ni kandamizi wakataifisha mashamba productive waka destroy know how ya farming leo hii wanaomba chakula na wanakimibilia south afrika na nambia kuishi. waliowadaganya afrika walikuwa na agenda nyingine ambayo hatajaweza kuijua mpaka leo hii kwa maana bado hatujinasui.
Ulaya mashariki pia walifdaganywa, tena wao walivamiwa na soviet union kuunda communism, leo hii wameachana na communism na kurudia Christianity na prosperity imerudi wanakaribia kuwafikia Western Europe kwa living standards, hata South America walidanganywa vilvile ukiondoa Chile ambayo waliushtukia ucommunists mapema na kufanya mapinduzi kurudia Christianity leo hii Chile is the richest country in south Amerika na the only member of OECD in South America.
Hata Afrika hatujachelewa, communism ni anti God na pro islam, ndiyo maana utaona viongozi wa kiafrika hata kama ni Christian lkn ni kama wana sympathize na muslims bila hata ya kujua mfano mzuri tanzagiza au south afrika, unajiuliza iweje wachukuwe wakimbizi wapalestina from another continent, wenye strange culture, another race, strange religion ambapo hata jirani zao wamewafungia mlango wakati huo huo waafrika wa sudani wanataabika, wanakufa njaa bila ya msaada wowote? how do you explain that? kwa maana Christianity inafundisha kumwangalia jirani yako kwanza ofcourse baada ya familia yako ndiyo uhamie kama kuna kilichobakia kwa mtu wa mbali, hivyo alichofanya za siyo Christian.
Black Amerika, pia walidanganywa na communists, thats why baadhi walibadili dini kuwa muslims, kwa nini wawe muslims kwa maana kama ni utumwa islam ndiyo ilikuwa ya kwanza kuuza utumwa na ushahidi upo kila mahali lkn wanattack Christianity tu, why? hapo chini Carlton wa fresh prince of belair anaitwa “sellout” kwa sababu anasoma kwa bidii na kujitahidi ili awe na good life, black amerikan wenzake wanamwambia anajifanya mzungu kwa kuwa anasoma kwa bidii na kumtenga kwa hiyo kuwa black maana yake asipende shule, avae hovyo, akimbize mademu na kuwa masikini, sounds familiar na afrika?
View: https://www.youtube.com/watch?v=Azk4Br9-Luo