Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.

Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.

Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
 
Hamna kitu wapo unga sana
Unafuatilia sajili wanazofanya lakini, au we unaangalia mechi za Yanga na Wiki Ya Mwananchi.

Hao unaosema wapo unga, tayari wamevuta vyuma viwili toka Ligi Kuu Ufaransa tena kwa kuvunja mkataba sio free agents. Yanga kumfunga Al Ahly inawezekana na ni mambo ya mpira yalivyo. Ila hao Al Ahly sio wenzetu kabisa sio wa kuomba kukutana nao wakiwa kwenye ubora.
 
Wewe hujielewi kwahiyo Al ahly wameanza Leo kusajili hivyo au
 
Mimi sio shabiki wa yanga ila nashabikia timu mbili tu
hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga yanga msimu huu yanga inaenda kuchukua ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga yanga msimu huu naombeni muitaje hapa chini sababu nilikua naona kama Al ahly ataweza kuifunga yanga ila nimeiangalia Al ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule
Usajili wa Al Ahly msimu huu.
1 Achraf Dari kutoka Stade Brestos ya League 1
2. Mohamed Ali Ben Romadhane kutoka FerencVarosi Torna Club
3. Yahya Atiat Allah kutoka Wydad Casablanca.
4. Mohamed Al Magrabhy kutoka Smouha fc

Hao wachezaji tu wanathamani kubwa kuliko vikosi vyote vya Yanga na Simba combined.

Usisahau pia Striker katili Wessam Abou Ali
 
Usajili wa Al Ahly msimu huu.
1 Achraf Dari kutoka Stade Brestos ya League 1
2. Mohamed Ali Ben Romadhane kutoka Ferencos Veros
3. Yahya Atiat Allah kutoka Wydad Casablanca.
4. Mohamed Al Magrabhy kutoka Smouha fc

Hao wachezaji tu wanathamani kubwa kuliko vikosi vyote vya Yanga na Simba combined.

Usisahau pia Striker katili Wessam Abou Ali
Kwahiyo thamani ndio inacheza uwanjani hivi unaakili timamu kweli wewe
 
Ndio maana haji manara alijisemea mashabiki wa yanga hamna akili timamu kwa huu uzezeta ulio andika unathibisha alicho ongea yule bwege alikua sahihi kabisa
Mbumbumbu FCA wazee wa kula 5 hamtakagi ukweli
 
Back
Top Bottom