Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Chief Godlove njoo huku kwenye uzi wako udadavue nini kimeikumba timu yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tenakwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
Vipi timu ya kuifunga Yanga imepatikana au bado?Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
NDo ulikuwa unamaanisha yanga hiihii ya strika dube , cjui mzize...hawa hawawezi kuifikia idara ya ushambuliaji ya pyramids ndo wawazidi al ahly kina percy tau, wessam abou ali😂😂😂😂...beki cjui boka , nickson kibabage, mwamnyeto, dj ki ndo kashaisha sahvMimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
NDo ulikuwa unamaanisha yanga hiihii ya strika dube , cjui mzize...hawa hawawezi kuifikia idara ya ushambuliaji ya pyramids ndo wawazidi al ahly kina percy tau, wessam abou ali😂😂😂😂...beki cjui boka , nickson kibabage, mwamnyeto, dj ki ndo kashaisha sahv
Mkubwa mnoo🤣🤣Kibabage na israel mwenda ndio wakakabe mawinga wa esperence wakija kutafuta goli.. huu ni utani kwa kweli
Sasa wa naomba msaada kwa MunguKipato huleta majivuno ni majuzi tu walitaka kucheza na malaika