Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Uzi mchungu kwa mleta mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
Kuna team inaitwa Tabora, wame Fanya yao kabla hata match za Africa hazijaanzaMimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
Tabora wamesema tusahau away twende nyumbani.Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Zecomedy show 🤣🤣🤣🤣Wazee wa,kubweka kama Luc alivyowaita...
View attachment 3148782
Ulimaanisha Al Ahly au Al Hilal ya SudanMimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini sababu nilikua naona kama Al Ahly ataweza kuifunga Yanga ila nimeiangalia Al Ahly inavyocheza nimeona wapo unga sana hamna timu mule kwa jinsi Yanga wanavyochezea aisee hamna wakuwazuia Africa hii.
Ni wazi ugonjwa wa akili Tz kwa sasa ni tatizo kubwa.Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.