Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

Kuna team inaitwa Tabora, wame Fanya yao kabla hata match za Africa hazijaanza
 
Huyu dogo LIL DURK Hajaingia JF tokea Ijumaa saa 8 mchana baada ya kitimu chake kufirimbwa na Mboka Manyema.

Watoto wadogo msiwe na mihemko kiasi hiki, sisi Baba zenu tumeyaona mengi ya dunia.
Afungwe Madrid ya Vini Jr sembuse ka Utopolo? WTF
 
Ulimaanisha Al Ahly au Al Hilal ya Sudan
 
MAADUI WAKUU WA TAIFA.

" MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI SIO MAADUI WA DHIHAKA.
UMASIKINI.
UJINGA.
MARADHI."

JK NYERERE 1961.
 
Ni wazi ugonjwa wa akili Tz kwa sasa ni tatizo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…