Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

Vipi timu ya kuifunga Yanga imepatikana au bado?
 
Caf champions league mashindano ya kibabe sana.

Timu zetu zina tabia ya kujidanganya sana.

Yanga kujaza kina dube na chama kuna wajinga walitegemea yanga inaenda kubeba ubingwa wa africa tena wakiwa unbeaten.

Yale yale ya simba ya mdada babra ilijaza kina bwalya, lwanga, konde boy na wao waliongoza kundi lao kwa point 13 wakaamini wanaenda kubeba ubingwa wa africa. Wakaenda kutolewa kwa aibu robo fainali.

Caf champions league ni mashindano ya kutumia akili nyingi sana ndio maana miaka yote timu zinazopokezana ubingwa ni zile zile hazizidi 5. sababu ndio zinacheza kwa akili nyingi

Mamelodi mwenyewe alikuwaga anajidanganya kwa mawazo kama ya simba na yanga kwamba ana timu bora.. ila caf champions league huwa anatolewa kila msimu. Sababu na yeye hatumii akili kama kina simba na yanga
 
NDo ulikuwa unamaanisha yanga hiihii ya strika dube , cjui mzize...hawa hawawezi kuifikia idara ya ushambuliaji ya pyramids ndo wawazidi al ahly kina percy tau, wessam abou aliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...beki cjui boka , nickson kibabage, mwamnyeto, dj ki ndo kashaisha sahv
 

Kibabage na israel mwenda ndio wakakabe mawinga wa esperence wakija kutafuta goli.. huu ni utani kwa kweli
 
Kipato huleta majivuno ni majuzi tu walitaka kucheza na malaika
 
kuonesha kwamba maneno ya binadamu sio kitu watu wanaongea tu wanachotaka mda wowote usikubali katishwa tamaa kizembe na maneno ya bin adam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…