Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Vijana wengi barani Afrika ni wapenzi wa kabumbu (mpira wa miguu), kwa hesabu za haraka ni takribani asilimia 90 tayari vijana wamechotwa akili kwenye mpira, asilimia 9.99 wamejiweka kwenye michezo mengine mfano wa mpira wa magongo, mikono, magari na hata mbio.
Hakika michezo ni njia moja wapo ya kujenga urafiki na udugu (mshikamano na ushawishi), kupitia michezo kuna asasi nyingi zinatengenezwa kulinda na kutetea haki ya mchezo (sheria) na wanamichezo, lakini kama tunavyojua wenzetu wanaanza kujijenga na kuvuta kupitia vyombo vya habari na tasnia za michezo na burudani Halafu wanaingiza jambo lao wanaolitaka taratibu.
Mfano mdogo; Katika ligi nyingi za Ulaya kuna ubaguzi na wamechukua mda mrefu kupingana nao, hata sasa bado wanaendelea nao kwa kuwapa wachezaji ubalozi (Vini Jr) na wengineo, lakini kupitia matangazo yanayopita kwenye kuta za uwanjani na hata wachezaji wenyew hubeba jumbe za kufikisha lengo.
Sasa naomba nirudi kwenu sisi Waafrika tumejipanga kwa hilo!?