Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comments humu zinauaUsikute huna marinda Ila unajitutumua tu uonekane bab' kubwa!
Kheee kuumia Tena[emoji16]tena anasema unaniumizaaaah 🙂 🙂
Aisee! Hii dunia inashangaza sana hivi dume kabisa anakatikia kiuno mwanaume mwenzake aaah.
Hizi kelele zote ni za utopolo kwa kutokuwepo kwenye mashindano haya,hii mijitu ni ya hovyo sana.Ilishasemwa na waratibu wa African football league kwamba hizo rangi zinawakilisha utamaduni wa mwafrika.
Hivi hata tofauti huoni za hizo rangi? Onyesha kwenye bendera ya mashoga wapi kuna rangi nyeusi? Kwanini mnapenda kulazimisha kitu ambacho sicho?