Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Tatizo hizo fedha hazipo, ndomaana tunakopa.
Hakuna madarasa ya kutosha wanafunzi wanakaa chini
Mahospitalini hakuna vitanda na madawa, wamama wanajifungulia chini
Mabarabara hayajaunga mikoa yote wala wilaya zote
Bado wastaafu wengi hawajalipwa mafao.
huduma ya Maji haijafika eneo kubwa la Tz
Umeme haujasambazwa vijijini
Na hizo ni basic needs tu..Hatujaja kwenye needs zingine za wananchi ambazo serikali haina hela ya kutimiza.
 
Kwa jinsi hii kweli wataacha kwenda kwa waganga wabakie kwenye hizo nafasi. Shida ni kwamba sasa hivi ninalalamika lakini nikiwa nikipata Hitoshi nafasi nitafanya hayo. Shida ni kwamba sisi waafrika tu wabinafsi sana. Ninasikitika sana watoto wanapokaa chini na mtu anaendesha gari ya aina hiyo.
 
Hivi mjapani mramba asali kupitia hela ya serikali atakubali na uamuzi wako?. Kuna mambo mengine tunalaumu serikali zetu lakini anae nufaika zaidi serikali yenye ile bidhaa huweka mfumo wake. Ukija kuuondoa nae anakuondoa kwa mapinduzi au atakavyo yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…