Ndiyo na kuna ngazi za uongozi zinazoweka kufanya hilo likafanyika kwa ufanisi mkubwa.Kukagua utekelezaji wa sera ni jukumu la serikali.
kuna watu wanashindwaga kumuelewa paskal..... ili kumuelewa inabidi at least ufike form six [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe una kichwa Hakina akili za deep thinking and rationalize issues
It’s not personal but facts of travelling on the tarmac and bush roads. Kwa yeyote it was a general question ukisafiri kwa masaa nane, unapofika hiyo safari unakuwa katika hali gani (most of us hoi).Are you going to make this personal?
Do you think I do not know what it takes kusafiri na barabara nchi hii? Unahisi ni hao tu wanaosafiri na magari?
Tubaki kwenye mada, tusiweke personal credentials hapa.
Narudia, nasisitiza, hakuna ulazima wa LC300. And I know what I am talking about.
Natembea 40k km kwa mwaka. Naendesha gari binafsi.It’s not personal but facts of travelling on the tarmac and bush roads. Kwa yeyote it was a general question ukisafiri kwa masaa nane, unapofika hiyo safari unakuwa katika hali gani (most of us hoi).
Halafu imagine asubuhi kumekucha unafanya ziara, mchana unaanza tena safari upya. Na kuna magari viti kama sio comfy ukifika shingo, mgongo na kiuno unasikia adhabu waliyopotia. Na kama njia makongoro halafu gari aina spring za kubeza
Ukaguzi wa sera ni physical, mnaweza panga mipango kazi virtually.Ndiyo na kuna ngazi za uongozi zinazoweka kufanya hilo likafanyika kwa ufanisi mkubwa.
Mmeweka siasa mbele hadi watendaji mnahojiana na kufukuzana kazi kwenye majukwaa kama vile hamna vikao rasmi na mawasiliano ya kiofisi.
Acha wale maisha ww unateseka nini ingekua ni baba ako au ww ndio mkuu wa mkoa ungekataa hilo ndinga au unabwabwaja tu kisa hujaweza kuwa mkuu wa mkoaKwa Logic hii hizi V8 ziwe kwa mawaziri tuu.
Mkuu wa mkoa hakupaswa kuwa na V8.Maana safari zake nifupi za ndani.
Kajamaa ni kajinga sana mkuuUnapenda sana kujitoa ufahamu.
Sio mtu kila commando, wengine wanahitaji kuweka mazingira rahisi.Natembea 40k km kwa mwaka. Naendesha gari binafsi.
Nina zaidi ya mwezi sijarudi kwangu nahama mkoa kwa mkoa. Ninaingia vijijini, sometime nalala kwenye gari.
Safari zangu ni ngumu kuliko hao ambao wanatembea mchana tu, wanafikia hotelini kazi kesho. Nasafiri usiku nafikia asubuhi straight kazini bila uchovu. Nikimaliza nahamia mkoa mwingine.
Hakuna ulazima wa LC300, usinipange.
Naona umeamua tukubaliane kutokukubaliana.Sio kila commando, wengine wanahitaji kuweka mazingira rahisi.
OK mkuu either magari yalikuwa Sandakalawe au serikali walinunua; lakini yalitumika na vigogo.Haswa., Walioleta hayo 4*4 kwa asilimia kubwa walikuwa wageni/ na kwa taarifa zaidi(by the way) mpaka sheria za plate zikarakabishwa, Ma (TX)
Kama sikosei Wakati huo Wizara nyingi... zilikuwa na ka-project cha kudhaminiwa /misaada ma (TX) mpaka hao Polisi nao na magari yao mengi yalitoka Ngazi za juu Serikalini, yakichoka...Polisi
, vilevile kulikuwa na ugomvi mkubwa(tetesi) kuwa baada ya wale ma-xpert kuondoka basi vigogo wa juu Wizarani na kwingine ndio "Walionyakua" for Official use by the way hayo hivyo sioni ajabu kuwa ulikuwa unayaona kwa vigogo.
....tetesi hata nape naye alijaribu(Kunyakua)
Mzee Ruksa alitembelea na Defender sana tu,....as (Official motorcade) (Ngao)pamoja na Ruksa zake
...pia Viongozi wa Mashirika ya Umma walitesa sana Wanasiasa na Viongozi wengi Serikalini kwa Magari ya nguvu (SU)
kukaja mashangingi(kuwawezesha wabunge)
CCM ndio usiseme mhhh walinyakua sana....na maegesho mengi yao yalitokana na TX katika maeneo wanayokaa yalitokana na Ufahari wa gari.... na Uzalendo wa UVCCM wink
the rest is History
Sema wapande mie simo humo, naongelea practicality tu.Naona umeamua tukubaliane kutokukubaliana.
Nunueni tu hizo ndude. Mnaweza. Maamuzi ni yenu.
Ila katu msituambe kwamba mnazihitaji ili kutimiza majukumu yenu. Nunueni kisha kaeni kimya.
Kwa hiyo watendaji waliosimamia huo ujenzi hawahusiki katika uwajibikaji hadi useme mzigo wa lawama abebe Waziri? Huu si ndiyo uhujumu uchumi wenyewe? Na kama ni hivyo basi mawaziri wawe wanalala site hadi ujenzi uishe maana ujenzi ukishaisha ukaanza kukagua kiasi cha mchanga kilichopo kwenye matofali huo ni usanii tu na hadaa kwa wananchi.Ukaguzi wa sera ni physical, mnaweza panga mipango kazi virtually.
Lakini kuna vitu presence is necessary. Haya umwambiwa mheshimiwa tumejenga shule imeisha kwa milllioni 700. Shule yenyewe ukifika tofali mchanga mwingi kuliko cement and your none-the-wiser on value for money.
Ukifika bungeni report ya CAG inasema shule iliyojengwa kwa thamani ya millioni 700 wizi mtupu. Haya waziri tupe majibu unaanza kujiuma uma tena ukute huko nyuma ulisema shule nzuri tu imejengwa.
Si ajabu na wewe ukaambiwa ulikuwa na mgao wako kumbe umesikiliza porojo tu ukaamini. Ndio maana watu wanafanya ziara ya kukagua sera.
Watu hivi unakuta hawajai kufanya biashara wala hana mpango wa kufanya biashara. Anavyosisitiza utafikiri analipa kodiLipa kodi wacha lawama kwan Chadema ikichukua nchi ndo watatembelea noah
Basi sawa.Sema wapande mie simo humo, naongelea practicality tu.
[emoji112]
Nani anajukumu la kuhakikisha sera za serikali zinatekelezwa na penye mgogoro wa muda mrefu nani anatakiwa kwenda kutolea maamuzi ya mwisho?Kwa hiyo watendaji waliosimamia huo ujenzi hawahusiki katika uwajibikaji hadi useme mzigo wa lawama abebe Waziri? Na kama ni hivyo basi mawaziri wawe wanalala site hadi ujenzi uishe maana ujenzi ukishaisha ukaanza kukagua kiasi cha mchanga kilichopo kwenye matofali huo ni usanii tu na hadaa kwa wananchi.
Na nafikiri unatumia neno "sera" vibaya.
Tumalizie kwa kusema kama tumewekeza kwenye mifumo ya TEHAMA tuitumie. Pia tuimarishe ngazi zote za uongozi na tuongeze uwajibikaji.Nani anajukumu la kuhakikisha sera za serikali zinatekelezwa na penye mgogoro wa muda mrefu nani anatakiwa kwenda kutolea maamuzi ya mwisho?
Naomba majibu yako Ili tumalize mjadala kwa usiku wa leo.
Naona tumegongana, sehemu.OK mkuu either magari yalikuwa Sandakalawe au serikali walinunua; lakini yalitumika na vigogo.
We jamaa wakati akili zinagaiwa ulikuwa kwa Mpalanger ukipalanga!Hizo gari Ni cheap kununua (in bulk)na maintenance Ni rahisi kuliko hizo IST zenu