Haswa., Walioleta hayo 4*4 kwa asilimia kubwa walikuwa wageni/ na kwa taarifa zaidi(by the way) mpaka sheria za plate zikarakabishwa, Ma (TX)
Kama sikosei Wakati huo Wizara nyingi... zilikuwa na ka-project cha kudhaminiwa /misaada ma (TX) mpaka hao Polisi nao na magari yao mengi yalitoka Ngazi za juu Serikalini, yakichoka...Polisi
, vilevile kulikuwa na ugomvi mkubwa(tetesi) kuwa baada ya wale ma-xpert kuondoka basi vigogo wa juu Wizarani na kwingine ndio "Walionyakua" for Official use by the way hayo hivyo sioni ajabu kuwa ulikuwa unayaona kwa vigogo.
....tetesi hata nape naye alijaribu(Kunyakua)
Mzee Ruksa alitembelea na Defender sana tu,....as (Official motorcade) (Ngao)pamoja na Ruksa zake
...pia Viongozi wa Mashirika ya Umma walitesa sana Wanasiasa na Viongozi wengi Serikalini kwa Magari ya nguvu (SU)
kukaja mashangingi(kuwawezesha wabunge)
CCM ndio usiseme mhhh walinyakua sana....na maegesho mengi yao yalitokana na TX katika maeneo wanayokaa yalitokana na Ufahari wa gari.... na Uzalendo wa UVCCM wink
the rest is History