Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kukagua utekelezaji wa sera ni jukumu la serikali.
Ndiyo na kuna ngazi za uongozi zinazoweka kufanya hilo likafanyika kwa ufanisi mkubwa.

Mmeweka siasa mbele hadi watendaji mnahojiana na kufukuzana kazi kwenye majukwaa kama vile hamna vikao rasmi na mawasiliano ya kiofisi.
 
Are you going to make this personal?

Do you think I do not know what it takes kusafiri na barabara nchi hii? Unahisi ni hao tu wanaosafiri na magari?

Tubaki kwenye mada, tusiweke personal credentials hapa.

Narudia, nasisitiza, hakuna ulazima wa LC300. And I know what I am talking about.
It’s not personal but facts of travelling on the tarmac and bush roads. Kwa yeyote it was a general question ukisafiri kwa masaa nane, unapofika hiyo safari unakuwa katika hali gani (most of us hoi).

Halafu imagine asubuhi kumekucha unafanya ziara, mchana unaanza tena safari upya. Na kuna magari viti kama sio comfy ukifika shingo, mgongo na kiuno unasikia adhabu waliyopotia.

Na kama njia makongoro halafu gari aina spring za kutosha unesenese badala ya kusikilizia bumps ndio kabisa hiyo sasa sio kazi adhabu.
 
It’s not personal but facts of travelling on the tarmac and bush roads. Kwa yeyote it was a general question ukisafiri kwa masaa nane, unapofika hiyo safari unakuwa katika hali gani (most of us hoi).

Halafu imagine asubuhi kumekucha unafanya ziara, mchana unaanza tena safari upya. Na kuna magari viti kama sio comfy ukifika shingo, mgongo na kiuno unasikia adhabu waliyopotia. Na kama njia makongoro halafu gari aina spring za kubeza
Natembea 40k km kwa mwaka. Naendesha gari binafsi.

Nina zaidi ya mwezi sijarudi kwangu nahama mkoa kwa mkoa. Ninaingia vijijini, sometime nalala kwenye gari.

Safari zangu ni ngumu kuliko hao ambao wanatembea mchana tu, wanafikia hotelini kazi kesho. Nasafiri usiku nafikia asubuhi straight kazini bila uchovu. Nikimaliza nahamia mkoa mwingine.

Hakuna ulazima wa LC300, usinipange.
 
Ndiyo na kuna ngazi za uongozi zinazoweka kufanya hilo likafanyika kwa ufanisi mkubwa.

Mmeweka siasa mbele hadi watendaji mnahojiana na kufukuzana kazi kwenye majukwaa kama vile hamna vikao rasmi na mawasiliano ya kiofisi.
Ukaguzi wa sera ni physical, mnaweza panga mipango kazi virtually.

Lakini kuna vitu presence is necessary. Haya umwambiwa mheshimiwa tumejenga shule imeisha kwa milllioni 700. Shule yenyewe ukifika tofali mchanga mwingi kuliko cement and your none-the-wiser on value for money.

Ukifika bungeni report ya CAG inasema shule iliyojengwa kwa thamani ya millioni 700 wizi mtupu. Haya waziri tupe majibu unaanza kujiuma uma tena ukute huko nyuma ulisema shule nzuri tu imejengwa.

Si ajabu na wewe ukaambiwa ulikuwa na mgao wako kumbe umesikiliza porojo tu ukaamini. Ndio maana watu wanafanya ziara ya kukagua sera.
 
Kwa Logic hii hizi V8 ziwe kwa mawaziri tuu.

Mkuu wa mkoa hakupaswa kuwa na V8.Maana safari zake nifupi za ndani.
Acha wale maisha ww unateseka nini ingekua ni baba ako au ww ndio mkuu wa mkoa ungekataa hilo ndinga au unabwabwaja tu kisa hujaweza kuwa mkuu wa mkoa
 
Natembea 40k km kwa mwaka. Naendesha gari binafsi.

Nina zaidi ya mwezi sijarudi kwangu nahama mkoa kwa mkoa. Ninaingia vijijini, sometime nalala kwenye gari.

Safari zangu ni ngumu kuliko hao ambao wanatembea mchana tu, wanafikia hotelini kazi kesho. Nasafiri usiku nafikia asubuhi straight kazini bila uchovu. Nikimaliza nahamia mkoa mwingine.

Hakuna ulazima wa LC300, usinipange.
Sio mtu kila commando, wengine wanahitaji kuweka mazingira rahisi.
 
Sio kila commando, wengine wanahitaji kuweka mazingira rahisi.
Naona umeamua tukubaliane kutokukubaliana.

Nunueni tu hizo ndude. Mnaweza. Maamuzi ni yenu.

Ila katu msituambe kwamba mnazihitaji ili kutimiza majukumu yenu. Nunueni kisha kaeni kimya.
 
Haswa., Walioleta hayo 4*4 kwa asilimia kubwa walikuwa wageni/ na kwa taarifa zaidi(by the way) mpaka sheria za plate zikarakabishwa, Ma (TX)

Kama sikosei Wakati huo Wizara nyingi... zilikuwa na ka-project cha kudhaminiwa /misaada ma (TX) mpaka hao Polisi nao na magari yao mengi yalitoka Ngazi za juu Serikalini, yakichoka...Polisi

, vilevile kulikuwa na ugomvi mkubwa(tetesi) kuwa baada ya wale ma-xpert kuondoka basi vigogo wa juu Wizarani na kwingine ndio "Walionyakua" for Official use by the way hayo hivyo sioni ajabu kuwa ulikuwa unayaona kwa vigogo.
....tetesi hata nape naye alijaribu(Kunyakua)

Mzee Ruksa alitembelea na Defender sana tu,....as (Official motorcade) (Ngao)pamoja na Ruksa zake

...pia Viongozi wa Mashirika ya Umma walitesa sana Wanasiasa na Viongozi wengi Serikalini kwa Magari ya nguvu (SU)

kukaja mashangingi(kuwawezesha wabunge)

CCM ndio usiseme mhhh walinyakua sana....na maegesho mengi yao yalitokana na TX katika maeneo wanayokaa yalitokana na Ufahari wa gari.... na Uzalendo wa UVCCM wink

the rest is History
OK mkuu either magari yalikuwa Sandakalawe au serikali walinunua; lakini yalitumika na vigogo.
 
Naona umeamua tukubaliane kutokukubaliana.

Nunueni tu hizo ndude. Mnaweza. Maamuzi ni yenu.

Ila katu msituambe kwamba mnazihitaji ili kutimiza majukumu yenu. Nunueni kisha kaeni kimya.
Sema wapande mie simo humo, naongelea practicality tu.

👋
 
Ukaguzi wa sera ni physical, mnaweza panga mipango kazi virtually.

Lakini kuna vitu presence is necessary. Haya umwambiwa mheshimiwa tumejenga shule imeisha kwa milllioni 700. Shule yenyewe ukifika tofali mchanga mwingi kuliko cement and your none-the-wiser on value for money.

Ukifika bungeni report ya CAG inasema shule iliyojengwa kwa thamani ya millioni 700 wizi mtupu. Haya waziri tupe majibu unaanza kujiuma uma tena ukute huko nyuma ulisema shule nzuri tu imejengwa.

Si ajabu na wewe ukaambiwa ulikuwa na mgao wako kumbe umesikiliza porojo tu ukaamini. Ndio maana watu wanafanya ziara ya kukagua sera.
Kwa hiyo watendaji waliosimamia huo ujenzi hawahusiki katika uwajibikaji hadi useme mzigo wa lawama abebe Waziri? Huu si ndiyo uhujumu uchumi wenyewe? Na kama ni hivyo basi mawaziri wawe wanalala site hadi ujenzi uishe maana ujenzi ukishaisha ukaanza kukagua kiasi cha mchanga kilichopo kwenye matofali huo ni usanii tu na hadaa kwa wananchi.

Na nafikiri unatumia neno "sera" vibaya.
 
mbona kuna prado TX imara sana zinauzwa adi million 50 kwanin wasitumie izo, very iconomy and strong
 
Kwa hiyo watendaji waliosimamia huo ujenzi hawahusiki katika uwajibikaji hadi useme mzigo wa lawama abebe Waziri? Na kama ni hivyo basi mawaziri wawe wanalala site hadi ujenzi uishe maana ujenzi ukishaisha ukaanza kukagua kiasi cha mchanga kilichopo kwenye matofali huo ni usanii tu na hadaa kwa wananchi.

Na nafikiri unatumia neno "sera" vibaya.
Nani anajukumu la kuhakikisha sera za serikali zinatekelezwa na penye mgogoro wa muda mrefu nani anatakiwa kwenda kutolea maamuzi ya mwisho?

Naomba majibu yako Ili tumalize mjadala kwa usiku wa leo.
 
Nani anajukumu la kuhakikisha sera za serikali zinatekelezwa na penye mgogoro wa muda mrefu nani anatakiwa kwenda kutolea maamuzi ya mwisho?

Naomba majibu yako Ili tumalize mjadala kwa usiku wa leo.
Tumalizie kwa kusema kama tumewekeza kwenye mifumo ya TEHAMA tuitumie. Pia tuimarishe ngazi zote za uongozi na tuongeze uwajibikaji.

Pia vyombo vya usalama visikae tu kufuatilia na kuadhibu wanaokosoa serikali bali vitumike zaidi kusimamia rasilimali za nchi na matumizi ya pesa za serikali na vichukue hatua pale ubadhilifu na ufujaji unapoonekana bila kusubiri idhini ya wanasiasa.

Tukifanya hayo mbona tutakwenda vizuri tu.
 
OK mkuu either magari yalikuwa Sandakalawe au serikali walinunua; lakini yalitumika na vigogo.
Naona tumegongana, sehemu.

Sikatai mengi unayosema, sipingi mengi unayoyasema...Walakin
ukirudi pale tulipoanzia kujibishana ...na nakununkuu
"
Enzi za Nyerere walikuwa wananunuliwa Defenders. Bei zake hizo Toyota cha mtoto, wenyewe wamekimbia."

kwa hayo niliona unajenga taswira tofauti na iliyokuwepo.
Nimeona kama unasema 'Kwavile enzi za Nyerere walifanya vile, basi sasa ni Sawa tu!'

halikadhalika binafsi najua...

Kulikuwa na Nidhamu na Vituko

, lakini kwa sasa kumezidi.

Sikatai hoja za Mahitaji ya Wakulu....Ila hizo Bei za Magari.....

hayo naomba nisitishe kubwabwaja(comment) kuhusu Bei hizo.

Tuendelee, kwa kwata.
uTaelewa nilifikaje hapa.
 
Hizo gari Ni cheap kununua (in bulk)na maintenance Ni rahisi kuliko hizo IST zenu
We jamaa wakati akili zinagaiwa ulikuwa kwa Mpalanger ukipalanga!

Hii gari ina 800 cylinders na 100 pistons mafuta ya kuiwasha tu ni budget ya IST ya miezi sita! Reserve yake gari inatoka Dar hadi Dom!

In short wewe unawaza gharama za maintenance ambayo ni mara moja tu kwa mwezi wakati sisi tunawaza

1. Sisi tunawaza viongozi wetu wengi ni washamba wamezaliwa bush wanatafuta sifa kwa kununua magari ya bei mbaya kwa kodi za maskini.
2. Nchi inapoteza mabilioni kwa kununua magari makubwa pesa ambazo zingefanya mambo mengine ya maana zaidi
3. Bei ya kuzinunua hizo gari ni kubwa mno ila fikra zetu haziko huko
4. mafuta ya kuziendesha hizo gari ambazo ziko nchi nzima ni pesa nyingi mno ya kujenga Nyerere Dam kumi
5. Our thinking is corrupt , brainwashed and primitive!
6. Nchi hii imejaa wajinga wengi maisha magumu ajira hakuna na rasilimali zao zinachezewa mbele ya macho yao ila hawaoni!
7. Kizazi Cha majizi kimebakiza 30 to 40 years mengi yanayopenda gari hizi ni mazee yalizaliwa bush na yako jioni Sasa muda wa vijana kula nchi yao uko jirani

What next?
 
Back
Top Bottom