Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Watatoka na watakuja wengine na deni litapaa kama Bombardia !!
 
Huwezi amini sijaelewa
 
Lipa Tozo, matumizi waachie Viongozi
 
Ndiyo na kuna ngazi za uongozi zinazoweka kufanya hilo likafanyika kwa ufanisi mkubwa.

Mmeweka siasa mbele hadi watendaji mnahojiana na kufukuzana kazi kwenye majukwaa kama vile hamna vikao rasmi na mawasiliano ya kiofisi.
Kati ya tabia ya kipuuzi ni hii
 
Kama sababu ni za kiafya hayo magari wangepewa wahandisi,waganga wakuu na maafisa elimu wa Wilaya wanaoshinda vijijini Kila siku.
Kiliko ambao wanaenda mara moja Kwa mwezi na wakifika Halmashauri wanabadilisha wanapanda land Cruiser Hardtop
 
Pesa ndogo hiyo Saudi Arabia police wanatumia Lamborg
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Hapa nakuona P kwenye ubora wako. Nakuona kwenye engo nyingine kabisa😂️😂️😂️😂️😂️
 
Ok kwahiyo sababu za msingi kununuliwa hayo magari ni kuwa na hadhi ya kuendana na msafara wa Rais na sababu ya pili ni baadhi ya mikoa kuna barabara korofi na hayo ndio magari yenye kufaa kwa hizo barabara.
Magari mazuri kwa barabara zote na zozote zilizopo Tanzania nzima ni L/Cruiser hard top a.k.a Mkonga !! Kila siku tunaambiwa Nchi hii ni masikini bandugu ! Sasa masikini halafu tunataka maisha ya kifahari ! Wapi na wapi !!
 
Hapo sasa !!
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Hili suala kwakweli tulifanye agenda ya kitaifa.
Tatizo kubwa ni kuwa na raia wote wezi kiasilia kiasi kwamba anayeona kuna shida kama nchi maskin anachukuliwa ni wivu au siasa chafu.
Kifupi kuna tatizo pahala. Anayetaka anasa ajichange tu mwenyewe.
NAmna hii hata kumshawishi raia wa kawaida na mfanyabiashara mkubwa kuona soni ya kukwepa kodi ni ngumu
 
Huwezi amini sijaelewa
Duh hata gugu? Haielewi? Soma vizuri tu. Utaelewa. Umejizimisha tuu.

Kwani wewe umekuja kuelewa humu JamiiForums? Au Kutupa vijembe?

Onyesha bandiko lako lolote lile kwenye hii mada, Unapoelewa na hakuna kijembe.



Weka mfedheheko wako hapa chini
 
Afadhali wewe Unaelewa sana. Mnapoteza rasilimali zenu.
 
Sawa ila sio kwa level ya wakuu
Izo ulizosema ni kwa ajilnya maafsa
Gari maana yake ni usafiri tu wa kukupeleka uendako wewe mtumishi wa Umma ! Kama unataka luxury unanunua kwa pesa yako tena iwe ni pesa ya halali !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…