Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Umeona gari za serikali za india. Alafu kuna mtu atakuja kukupanga eti viongozi wanasafiri sana sijui umbali wakati India ni nchi kubwa zaid viongozi wao wanatembelea gàri za kawaida tena made in India View attachment 2843101

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Nchi hii ina viongozi walionda shule na wana vyeti vya kutundika kwenye kuta na picha wakiwa wamevaa majoho.
Ila ukipima kauli zao, unawaza sana huwa nini kinaendelea kwenye vichwa vyao wakati wakiwa "wanatujaza"
 
siku yangu ya kuwa Rais wa nchi hii yaja, kuna familia nimeshaziandika kwenye daftari langu, hizi familia zitatangazwa kama aibu na wasaliti wa Taifa, zitafilisiwa popote zilipo na mali kurudi kujenga mashule,mahospitali nk.

Siku hii yaja, Hata jumuiya za kimataifa nitaziambia pale UN misaada mliyokuwa mnaleta imeliwa na familia hizi na sio waliyokusudia (kama kweli nao walikuwa na nia ya dhati).

Siku hii yaja, nitatoa roho za wapumbavu wengi wasiotaka kusikia na kuona wengine maboya eti tu kwa kuwa wamepewa mamlaka yakushika ofisi za umma na kuona hizo nafasi ni ajira binafsi na si utumishi wa umma.

Ukiona Baba yako mdogo, mjomba, baba yako, mume wako nk anatumbua tu mali za umma na mwisho wa mwaka mnakwenda kushangilia wote ushindi, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Pwani, Tanga, Kigoma, Mwanza nk basi nawe ujue ni aibu na msaliti kwa Taifa.
 
Ndo maana hutakiwi ionea huruma hela ya serikali. Wala usilipe kodi.

Rais hana nia ya kupunguza matumizi
Yule bwana Watson alipata mashaka kama sisi watu weusi ni species sawa na wengine...kumbe tuko sawa ila sisi ni Wajinga tu!
 
viongozi wa Africa ni sheedah! Huwa natamani tungeazima uongozi wote wa juu kutoka Ulaya au nchi kama Singapore, China au Malasya
 
viongozi wa Africa ni sheedah! Huwa natamani tungeazima uongozi wote wa juu kutoka Ulaya au nchi kama Singapore, China au Malasya
Viongozi wa Afrika hatuletewi labda kutoka sayari nyengine bali hutoka miongoni mwetu mimi,wewe ndugu na jamaa zetu ndio huwa viongozi wa nchi zetu za Afrika.
 
raha sana, viongozi wanakula ANA$A haswa. acha nipambane kuwa KIONGOZI namimi nile BATA kama wao.
 
Back
Top Bottom