Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama serikali kweli inawapenda wananchi wangetumia hata gari Suzuki jimny kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakuu wa taasisi nyingine za umma.
images (1).jpeg
Hiki chuma kingewafaa sana, bajeti nafuu ya wese halafu unapita popote. Chenchi inayobaki ingepelekwa kwenye miradi ya maji na kilimo.
Kiongozi akistaafu au kumaliza muda wake anaondoka nayo kama Asante kwa kuwahudumia wananchi.
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.

P
Huyu naye alitaka kuwa mbunge Ili ale maisha kama wengine.

Hii nchi bhana kweli imetoboka.
 
Viongozi wa Afrika hatuletewi labda kutoka sayari nyengine bali hutoka miongoni mwetu mimi,wewe ndugu na jamaa zetu ndio huwa viongozi wa nchi zetu za Afrika.
Ni sawa sasa kwa nini Mtu kujiweka mbele kutaka kuongoza ili hali huna hiyo nia ya dhati? Kwani nchi yote hii hakuna wenye huo uwezo?.Ndio hawatoki sayari nyingine ila tuwe Waungwana miongoni mwetu.
 
Thus why USA kuondoa misaada Kwa zinazoitwa nchi maskini..Misaada at an expense of poor and rich American tax payers..
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.

P
Kwamba kwa comment hii hata kama ni ya muda mrefu, ndugu Paskari haoni kbs matatizo ya nchi hii na taabu za wananchi, halafu kuna wakati huyu bwana katangaza nia ya kuwania ubunge na akaangukia pua, hakika Taifa hili sijui ni wapi tulikosea
 
Back
Top Bottom