hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Huyu jamaa post zake ni two sides,ukiwa bwege unaweza SEMA anakusifia ,ila mostly zimejaa kejeliWe mzee sometimes huwa unakuwa bwege sana.
Unaandika masihara kwenye vitu serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa post zake ni two sides,ukiwa bwege unaweza SEMA anakusifia ,ila mostly zimejaa kejeliWe mzee sometimes huwa unakuwa bwege sana.
Unaandika masihara kwenye vitu serious
Hiyo bei unakuta asilimia kama 30 ni cha juu. Isitoshe wafanyabiashara ndio wanashawishi ununuzi wa magari sio serikali inapima mahitaji. Enzi ya jpm alitaka uwepo mpango wa serikali kununua kwa pamoja magari toka viwandani au maajenti wa viwanda toka nchi wanakotaka kununua. Wafanya biashara waagizaji magari wahindi bila shaka wakalifanyia kazi wazo hilo na kulipiga manati.😂🤣Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Hyo gari haifiki 600m mkuu kumbuka hpo inatembelewa ikiwa duty free ila ingekuwa imelipiwa kodi ndo ingekuwa hyo 600+Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Asante. Maoni yako yamepokelewa kikamilifu. Tutafanyia kazi kwenye vikao vya kamati KuuHyo gari haifiki 600m mkuu kumbuka hpo inatembelewa ikiwa duty free ila ingekuwa imelipiwa kodi ndo ingekuwa hyo 600+
Haya maneno yanatoka katika sakafu ya moyo wako kabisa kwa kumaanisha au unatania tu????Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P
Unakuta ukichukua cost ya magari ya wakubwa 7 mkoani (Regional Secretariat) yanaweza kuchukua zaidi ya 4bn gharama ya kununua magari.Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476044
Msimila nchi yetu bado ina matatizo mengi sana mkibahatika kwenda vijijini maisha ya watanzania ni mabaya sana.watu wanaishi kwenye lindi kubwa la uskini.wananchi wanashindwa hata kununua panadol,wanafunzi wanaenda shule peku,watu mpaka leo hii wanalala nyumba za nyasi tena chini sakafuni.hali ni yeye sana.hizo pesa zinazonunua hayo mashangingi ni bora yangetumika kuboreshaaisha ya watanzaniaKama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P
Umeona gari za serikali za india. Alafu kuna mtu atakuja kukupanga eti viongozi wanasafiri sana sijui umbali wakati India ni nchi kubwa zaid viongozi wao wanatembelea gàri za kawaida tena made in IndiaUnakuta ukichukua cost ya magari ya wakubwa 7 mkoani (Regional Secretariat) yanaweza kuchukua zaidi ya 4bn gharama ya kununua magari.
Mathalani, kama serikali mkoani Dodoma LGA ingeweka Gov Guarantee kama wana hiyo mandate ili kufanya equipment purchase kuwekekaza kwenye value chain hata ya machinery ya kusaga/kukoboa na kufungasha unga Dodoma ili kuuza unga Kenya, Rwanda, Burundi na Congo badala ya kuuza mahindi. Na pumba zikafungashwa na mchanganyiko mwingine na kuuzwa kama animal feeds.
US$ 1.59M sawia na 4bn ni hela nyingi sana kama kuna serious investment. Imagine tuna mikoa 31; wizara, wilaya, wakala/mamalaka za serikali kuna mabilion (millions of USD) tuna-export forex kila mwaka kwenda Toyota na Nissan Japan
What is the mechanism used to import forex through our exports of goods and services?
Hao wakubwa, RC, Mawaziri wapewe kibali cha kukopesheka ili walipie magari kwa fedha zao. It's worth kuwekeza kwenye kuzalisha kuliko kuweka ma-bn kwenye spending ya luxurious vehicles na ukipima return on investment; on serious notice gov spending, inaudhi sana, inakera sana.
mungu-mzungu-mwarabu-mwafrika-sokwe 😅😅😅Huu upuuzi ulianza enzi za JK, ukakua zaidi kipindi cha Jiwe na sasa unaendelea.
Usimwamini Mwafrika ndugu.
Magufuli kwenye kampeni 2015 alisema ataondoa ma V8 na alipoingia ndiye aliyebariki mpaka ma DAS kuanza kutembelea ma V8.
Mungu-Mzungu-mwarabu-mwafrika-Sokwe
Sio shughuli ya Afisa Manunuz hiyoMsimila nchi yetu bado ina matatizo mengi sana mkibahatika kwenda vijijini maisha ya watanzania ni mabaya sana.watu wanaishi kwenye lindi kubwa la uskini.wananchi wanashindwa hata kununua panadol,wanafunzi wanaenda shule peku,watu mpaka leo hii wanalala nyumba za nyasi tena chini sakafuni.hali ni yeye sana.hizo pesa zinazonunua hayo mashangingi ni bora yangetumika kuboreshaaisha ya watanzania
Dah mkuu huo mnyororo hapo mwishoni unasikitisha sana kwakweli.Huu upuuzi ulianza enzi za JK, ukakua zaidi kipindi cha Jiwe na sasa unaendelea.
Usimwamini Mwafrika ndugu.
Magufuli kwenye kampeni 2015 alisema ataondoa ma V8 na alipoingia ndiye aliyebariki mpaka ma DAS kuanza kutembelea ma V8.
Mungu-Mzungu-mwarabu-mwafrika-Sokwe
Kaka, unaniangusha bwana hata wewe ushabikie jambo la kipuuzi kama Hilo, Kwa uchumi gani tulionao.tuna zahanati na vituo vya afya havina watumishi. Wala nyumba za watumishi. Kuna should Zina walimu wanna tu.Yes kama una uwezo wa kulipa, kopa tuu, why not?
P
Kwa hiyo wafrica wana laanaSema ni watu hawajui tuu kuwa kusudi la Mungu kumuumba binadamu, ni ili binadamu apate raha!. Raha ni baraka na shida ni laana!.
Kama ulivyo utajiri ni baraka, umasikini no laana!.
P
Ccm hawajui kutofautisha kati ya kejeli na sifa, wao hata ukikejeli wanazichukua kejeli na kuweka kwenye kapu la sifaHuyu jamaa post zake ni two sides,ukiwa bwege unaweza SEMA anakusifia ,ila mostly zimejaa kejeli
Wazo ni zuri sana, lkn je na wazazi wanaoshindwa kumudu gharama za matibabu wakati wa kujifungua na kusababisha vifo vya mama na mtoto?Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P
🤣🤣🤣👍🆒Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy! Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari ya viongozi wetu wakiwemo wabunge, mawaziri yote yawe ni armored.
P