Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Kama serikali kweli inawapenda wananchi wangetumia hata gari Suzuki jimny kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakuu wa taasisi nyingine za umma.
Hiki chuma kingewafaa sana, bajeti nafuu ya wese halafu unapita popote. Chenchi inayobaki ingepelekwa kwenye miradi ya maji na kilimo.
Kiongozi akistaafu au kumaliza muda wake anaondoka nayo kama Asante kwa kuwahudumia wananchi.
Kiongozi akistaafu au kumaliza muda wake anaondoka nayo kama Asante kwa kuwahudumia wananchi.