Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Sasa ukishaweka standard ya senior posts kutumia aina fulani ya magari, that becomes the canon law kwa wote.Nimeona Jaji ana LC300.
Plate namba J
Huyu anasafiri kwenda wapi huyu?
Tunaona vitu kwa ground. LC300 zimetapakaa mno. Ni kitu kinanishangaza sana. Usitumie muktadha mmoja kujaribu kuelezea kila kitu.
Hakuna rationalization ya kununua LC300 zaidi ya prestige. There is always a better way.
Muhimu ni asilimia kubwa wanayatumia kwa sababu sahihi.